mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Jaribu kuwa na heshima japo kidogo tu! Ukikutana nae uso kwa uso utaongea hivyo? Au ndio kuwa nyuma ya keyboards kunakupa jeuri?Bakayoko wa awamu ya 5 hajaalikwa?? Ni lishamba Sana Hilo liBakayoko la tz!
Asikutishe huyo..mm nitakuwowa na hyo Chura yako. [emoji9]Kwahyo wataka niambia wanawake wasioolewa wote ni wenye chura?
Kweli kabisa mkuuHaka katoto sio kakali kiviiile...
Sema kwa kuwa ni katoto ka Dangote, haina jinsi inabidi tukasifie tu
LemutuzCjui mm ntamwoa mtt wa nan hapa Tz
mjomba tena???utajiri wenyewe kaurithi kutoka kwa mjomba wake
huyo utakuwa kamnunuaandaa milioni 40 kwa mwanangu
Unaowaje kwanz mweny churaKwanini wasiolewe wakati ni wanawake?
Harusi za watu wazito. Yaan hapo wenye pesa wamekutanaaliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
beachTatizo kapuku hawezi kumeet na mtoto wa Dangote. Wanakutana wapi kwa mfano?
kuoaUsilete udini katika mapenzi,hata kama hana dini wewe itakusaidia nini!!??
Hahaha.. via pornoHuyo demu nilisha piga sana mzingo hapo... hahaha
Hata bwana harus pia atakuwa muislambibi harusi ni muislamu?
Mkuu unauhusiano wowote na kamati fulani zinaitwa za roho mbaya (joking)Mbona mzee sasa ni mtoto wa dangote au mdogo wake?
Haha mkuu nipo kwenye kamati ya Majungu mkuu....(jokin)Mkuu unauhusiano wowote na kamati fulani zinaitwa za roho mbaya (joking)
Mkuu hata mkikutana mnaweza MSI click.... Kuna jamaa alimuokoa mtoto wa ShubasPatel Nawe Beach akamtoa ktk maji akikalihia kuzama lakini nothing had happened zaidi ya kupewa pesa kiasi na kupata kazi kiwanda cha chuma na baadae sayona.beach