Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Ana mwonekano... Na kilema pendwa nakiona kwa mbali.
tapatalk_1521896875534.jpeg
 
Huyo demu nilisha piga sana mzingo hapo... hahaha
 
Dangote alionekana akisakata rumba

 
anaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
Kwani ana kiwanda Bongo tu? tazama CNN uone ana shughuli ngapi Africa na duniani ndo uje kusema haya. Bongo utiritimba na mihemko yetu inafukuza wawekezaji. Dangote hana shida na vijisenti vyetu ila alitaka kuwekeza kutusaidia tusio saidika.
 
Back
Top Bottom