agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
hahahaNilifanikiwa kuhudhuria ilikuwa ya aina yake,watu ukumbini walikula mpaka mwingine wakabeba kwenye rambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaNilifanikiwa kuhudhuria ilikuwa ya aina yake,watu ukumbini walikula mpaka mwingine wakabeba kwenye rambo
Pole sana ....subiri yatatoka feki utanunua tuuNimependa gauni la bibi harusi.
Sawa.Pole sana ....subiri yatatoka feki utanunua tuu
Tatizo kapuku hawezi kumeet na mtoto wa Dangote. Wanakutana wapi kwa mfano?aliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
Usilete udini katika mapenzi,hata kama hana dini wewe itakusaidia nini!!??bibi harusi ni muislamu?
haitokaa atokee kuwa kapukualiyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
hatari sana huo mwanyaAna mwonekano... Na kilema pendwa nakiona kwa mbali.View attachment 724064
Utamuoa Jesca Jiwe, JJ [emoji22][emoji22][emoji22]Cjui mm ntamwoa mtt wa nan hapa Tz
mmmhhhhhhhaliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
kabisa yaanNdege wafananao huruka pamoja.
Kwenye shopping malls kama mlimani cityTatizo kapuku hawezi kumeet na mtoto wa Dangote. Wanakutana wapi kwa mfano?
Kwani ana kiwanda Bongo tu? tazama CNN uone ana shughuli ngapi Africa na duniani ndo uje kusema haya. Bongo utiritimba na mihemko yetu inafukuza wawekezaji. Dangote hana shida na vijisenti vyetu ila alitaka kuwekeza kutusaidia tusio saidika.anaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana