Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,181
Ana umri gani?Mbona mzee sasa ni mtoto wa dangote au mdogo wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana umri gani?Mbona mzee sasa ni mtoto wa dangote au mdogo wake?
We unafikiri John Pombe akistaafu anaweza kualikwa kwenye sherehe yoyote??JK anapenda sherehe jamani duh too much!! sasa hapo atakuwa kawakilisha wastaafu wote Africa
Mulize mtoa mada mimi sijui ila namuona ni ajuza tayari nkajua labda ni mdogo wa dangoteAna umri gani?
Aliko hakuja ku invest kiboya mshukuru kikwete alikua na connection za akili watu walinufaika kwa ajira kemkem usimchukulie poa hao ni marafiki eti kawakilisha wastafu! mheshimu kikweteJK anapenda sherehe jamani duh too much!! sasa hapo atakuwa kawakilisha wastaafu wote Africa
investment za akili mimi sizioni zidi ya kuibiwa kifala mchana kweupe.Kuanzia Umeme, Madini , Maliasili ni uwekezaji gani wa akili hapo.Aliko hakuja ku invest kiboya mshukuru kikwete alikua na connection za akili watu walinufaika kwa ajira kemkem usimchukulie poa hao ni marafiki eti kawakilisha wastafu! mheshimu kikwete
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mtoto wa mjini jk ndan ya nyumbaView attachment 724068View attachment 724069
Dah! Mkuu umeongea kwa hisia sana.....hahahaha atakuwa navyo vingi hiki cha Mtwara ni kama Perdiem kwa mtumishi wa Umma...anaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
Yaap,anaitwa Fatuma Aliko Dangotebibi harusi ni muislamu?
Alafu huyu anayemlaumu Dangote eti kaacha kiwanda kinakufaaa...anadhani Kujenga kiwanda ni kazi ya siku moja....na amesahau kuwa sherehe ya harusi ni kitu cha siku moja...dah! Kweli akili ni MaliUnamsaidia kuwekeza hizo pesa??? Yaani upuuzi wetu ndo unataka kuuweka kwake shubaamit
umefanya nimkumbuke le mutuz.Ila mi nawashauri tuache kujitenga siku zote kukaa uswahilini tu, mpaka mawazo yanadumaa.
Kuna siku nilienda pale seashells millenium hotel, jengo la millenium towers, pale nilikutana na akili kubwa.
Yaan siku mojamoja unatoka kwenye makelele unaenda kukutana na watu tofauti yako.
Dah!!! pale hotelini nilikaaa na watu wanaongelea kwenda marekani kama vile kutoka dsm unaenda morogoro.
Ilinipa moyo sana na usongo wa maisha.
huyo ngosha wako anasumbuliwa na poverty mentality. hiyo hali ikimtoka utaona balaa lake. ni suala la mda tu.Kumbe na Kikwete nae ni bilionea wa level ya Forbes?
Walah tumeibiwa sana awamu ya 4, wacha ngosha apiganie vilivyoibwa na wajanja kina kikwete lbd atavirudisha.