Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Nimemuona our beloved x presidaa Kikwete missing you dad! jamani uyo binti kafanana na baba yake balaa jamaa lazima nae kwao mpunga upo hadi billgate ndani duu!
 
JK anapenda sherehe jamani duh too much!! sasa hapo atakuwa kawakilisha wastaafu wote Africa
We unafikiri John Pombe akistaafu anaweza kualikwa kwenye sherehe yoyote??

Si atakua analia lia tu kama yule Suleiman Kova ambaye anasema toka amestaafu hata akiwapigia simu wale waliokua marafiki zake kipindi ni Kamanda wa Kanda Maalum hawapokei simu zake....

Kuna maisha baada ya kazi na vyeo...sasa hayo ndo maisha sio mnapata vyeo mnajiona kama mtaishi milele....
 
Huyu mtoto wa Aliko ni demu mkali sana!

Msela anatafuna kitu standard sana...

Halafu very simple,hana sura ya attitude...
 
Aliko hakuja ku invest kiboya mshukuru kikwete alikua na connection za akili watu walinufaika kwa ajira kemkem usimchukulie poa hao ni marafiki eti kawakilisha wastafu! mheshimu kikwete
investment za akili mimi sizioni zidi ya kuibiwa kifala mchana kweupe.Kuanzia Umeme, Madini , Maliasili ni uwekezaji gani wa akili hapo.
 
anaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
Dah! Mkuu umeongea kwa hisia sana.....hahahaha atakuwa navyo vingi hiki cha Mtwara ni kama Perdiem kwa mtumishi wa Umma...
ahahahaha yaani umenifanya nicheke mpaka basi
 
Unamsaidia kuwekeza hizo pesa??? Yaani upuuzi wetu ndo unataka kuuweka kwake shubaamit
Alafu huyu anayemlaumu Dangote eti kaacha kiwanda kinakufaaa...anadhani Kujenga kiwanda ni kazi ya siku moja....na amesahau kuwa sherehe ya harusi ni kitu cha siku moja...dah! Kweli akili ni Mali
 
Ila mi nawashauri tuache kujitenga siku zote kukaa uswahilini tu, mpaka mawazo yanadumaa.
Kuna siku nilienda pale seashells millenium hotel, jengo la millenium towers, pale nilikutana na akili kubwa.
Yaan siku mojamoja unatoka kwenye makelele unaenda kukutana na watu tofauti yako.
Dah!!! pale hotelini nilikaaa na watu wanaongelea kwenda marekani kama vile kutoka dsm unaenda morogoro.
Ilinipa moyo sana na usongo wa maisha.
umefanya nimkumbuke le mutuz.
jamaa tunamuona kama mjinga kwa kujichanganya na akili kubwaz ila ndio inazidi kumuongezea exposure na ku-make more deals.
 
Kumbe na Kikwete nae ni bilionea wa level ya Forbes?

Walah tumeibiwa sana awamu ya 4, wacha ngosha apiganie vilivyoibwa na wajanja kina kikwete lbd atavirudisha.
huyo ngosha wako anasumbuliwa na poverty mentality. hiyo hali ikimtoka utaona balaa lake. ni suala la mda tu.
 
Back
Top Bottom