Kweli utoto mwingiHuyu bwana huwa namuonaga kama ana’utoto’ mwingi. Nahisi hata huyo dada akikua kidogo tu, atajionea shida kukaa kwenye utoto wa kiasi hicho. Atakimbia tu kama mwenzie, sema kwa sasa bado nae hajakua.
Fupa lilomshinda fisi hiloo...na hivo binti mdogo, tuwape muda lakiniIla na sie wanawake bwana!
Yaani wake 2 wameshidwa yeye ndo akaweze?hata km nina hamu ya ndoa!
...🙄🙄🙄...Kwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.
Huyo tajiri utampata wa umri wako?Mbwa kabisa anakuona wewe wa shida tu raha anakula na wengine.
Mwanaume wa kariba hiyo ni wa kumkimbua kama ukoma.
Wapo kibao.
Kwahyo unataka kusema wanawake over Age mid thirty wanapenda mchezo (high sexual libido) kuliko
Hivi vitoto vya late 20s tunavyokimbizana navyo?
It is true and 49 ndio peak
Kama ni hvyo bora nioe wa miaka 30 na kuendelea
Kwahyo unataka kusema wanawake over Age mid thirty wanapenda mchezo (high sexual libido) kuliko
Hivi vitoto vya late 20s tunavyokimbizana navyo?
Kama ni hvyo bora nioe wa miaka 30 na kuendelea
Hivi Le Mbebez bado yupo singo [emoji23]Leo ni sherehe ya harusi ya Haji manara, inarushwa live azam tv sinema zetu.naona vigogo kama wote. Namuona le mbebez anakapila kapila macho tu...na wewe uoe babu.
Uzi tayari
Vipi na wale waliozaa lakin hawana umri huo?It is true 40s ndio balaa
We nae sio mt....bajiVipi na wale waliozaa lakin hawana umri huo?
Mbona tena unanishambulia wakati nimem quote ninaongea nae ni dorryln??We nae sio mt....baji
Heb tuache tuko busy mla tambuu.
Afu le bilionea sijui katoa zawadi gani you knowHivi Le Mbebez bado yupo singo [emoji23]
Uko sahihi sana vibinti shida tupu hata ukisimamia show kinazingua ila over age ni balaa utabomba mpaka ukimbie mbunyeKuliiiiiiiko unavyoweza kufikiri.
Huko 20's kuna hofu kibao
Mimba, kuachwa, kuwa cheated on, kutokufanya vizur, maisha, matamanio mengi ya maendeleo, kuhofia maumbile yake, kuwaza challenges za wengine.
Hivi vitu havipo baada ya 35+
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We nae sio mt....baji
Heb tuache tuko busy mla tambuu.