Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Kweli utoto mwingiHuyu bwana huwa namuonaga kama ana’utoto’ mwingi. Nahisi hata huyo dada akikua kidogo tu, atajionea shida kukaa kwenye utoto wa kiasi hicho. Atakimbia tu kama mwenzie, sema kwa sasa bado nae hajakua.