Unapata shida na kuuliza kuhusu mwanamke huyu ,je huyu,je Huyu, je yule.Mbona tena unanishambulia wakati nimem quote ninaongea nae ni dorryln??
Pitia uzi tena mwayego.Hivi kumbe alikuwa hajaoa ee..safi hongera kwake
Kwa hiko kishepu imbombo ngafu πππ tutapambana tu!Ngoja ameingia atakapokumbana na makubwa.
Wake zake wa mwanzo wamemvumilia hana mia mbovu wala nzima.
Wakaishi ukweni baada ya jamaa kupata hela sasa.
Haji anawapitia ndugu wa wake zake kama hana akili nzuri.
Tena anataka mpalange tu.
Mimi ndo maana nasemaga mwanaume maskini simtaki.
Mwanaume maskini utamvumilia weeee ngoja akishika visenti tu vya kula leo maini kesho kuku choma hakika lazima akuumize moyo wako na hisia zako.
Inawezekana kuna mambo hayajui ndio maana ndoa za mwanzo zilimshinda hivyo anakumbushwa/fundishwaKasema ana watoto watatu. Afu watu bwana mtu kashakaa ndoani miaka kibao, leo anapewa mawaidha ya ndoa khaaa
[emoji23]Hata na hii itakufa tu haifiki 2022.
we msng umejuaje jamaa ana kisukari aiseeπππKwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.
Kwahio tujiandae kuchapiwa tu πππKuliiiiiiiko unavyoweza kufikiri.
Huko 20's kuna hofu kibao
Mimba, kuachwa, kuwa cheated on, kutokufanya vizur, maisha, matamanio mengi ya maendeleo, kuhofia maumbile yake, kuwaza challenges za wengine.
Hivi vitu havipo baada ya 35+
Msitumike sana sa hizKwahio tujiandae kuchapiwa tu πππ
πββοΈπββοΈπββοΈAsantePitia uzi tena mwayego.
Ndoa ya tatu hii.
Kawaacha wote.Huyu si alikuwa na mke au kaongeza mke mdogo
Dah nawaza sana pale kijana mdogo aanze kunichapia wifeMsitumike sana sa hiz
Shida ni kuwa by the time sie tunalea nyie mnachanja mbuuuga huko.
By the time tumetulia sasa watoto wameshakuwa wakubwa.
Nyie dorooo, af sisi sa hizi ndo moto batiiii.
Usijali lakini ndo age pia family matters a lot.
We huchepukagi na vibinti vidogo? IDah nawaza sana pale kijana mdogo aanze kunichapia wife
Samahani kwa kukuquote moja kwa moja ila nilijumuisha mawazo ya wachangiaji woteWapi nimesema hasimamishi? Labda umuulize huyo anayesema hasimamishi mimi sijasema hilo.
ππππππππDah nawaza sana pale kijana mdogo aanze kunichapia wife
Bora wali samaki naziUzi umejaa umbea huu,watu wana details za ndani ndani....
utasema ni ndugu wa damu na Manara,kweli achana na walimwengu....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi ndo sisi wengine mafisi.Uzi umejaa umbea huu,watu wana details za ndani ndani....
utasema ni ndugu wa damu na Manara,kweli achana na walimwengu....
Wee bana weww kaa hapa tupige umbea,umbea na critical thinking haviendani kabisa.Samahani kwa kukuquote moja kwa moja ila nilijumuisha mawazo ya wachangiaji wote
Mimi huwa naamini katika mawazo yanayotiririka kwa kufanana, yakikinzana kidogo tu naanza kusoma kama burudani badala ya ile nia ya kumuelewa mhusika
ππππManeno mengi afu kazi hamnaKwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.