Harusi ya Haji Manara

Harusi ya Haji Manara

Mbona tena unanishambulia wakati nimem quote ninaongea nae ni dorryln??
Unapata shida na kuuliza kuhusu mwanamke huyu ,je huyu,je Huyu, je yule.

Kapige kazi mdogo wangu utajua huko huko yupo inakuwaje na yupi inakuwaje.

Hizi zaweza kuwa theories tu, which mpk uziprove ndo utapata majibu.
Sasa heb kazana na practical.
 
Ngoja ameingia atakapokumbana na makubwa.

Wake zake wa mwanzo wamemvumilia hana mia mbovu wala nzima.

Wakaishi ukweni baada ya jamaa kupata hela sasa.

Haji anawapitia ndugu wa wake zake kama hana akili nzuri.

Tena anataka mpalange tu.
Mimi ndo maana nasemaga mwanaume maskini simtaki.

Mwanaume maskini utamvumilia weeee ngoja akishika visenti tu vya kula leo maini kesho kuku choma hakika lazima akuumize moyo wako na hisia zako.
Kwa hiko kishepu imbombo ngafu 😂😂😂 tutapambana tu!
 
Kasema ana watoto watatu. Afu watu bwana mtu kashakaa ndoani miaka kibao, leo anapewa mawaidha ya ndoa khaaa
Inawezekana kuna mambo hayajui ndio maana ndoa za mwanzo zilimshinda hivyo anakumbushwa/fundishwa
 
Kwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.
we msng umejuaje jamaa ana kisukari aisee😂😂😂
 
Kuliiiiiiiko unavyoweza kufikiri.
Huko 20's kuna hofu kibao
Mimba, kuachwa, kuwa cheated on, kutokufanya vizur, maisha, matamanio mengi ya maendeleo, kuhofia maumbile yake, kuwaza challenges za wengine.

Hivi vitu havipo baada ya 35+
Kwahio tujiandae kuchapiwa tu 😂😂😂
 
Wapi nimesema hasimamishi? Labda umuulize huyo anayesema hasimamishi mimi sijasema hilo.
Samahani kwa kukuquote moja kwa moja ila nilijumuisha mawazo ya wachangiaji wote

Mimi huwa naamini katika mawazo yanayotiririka kwa kufanana, yakikinzana kidogo tu naanza kusoma kama burudani badala ya ile nia ya kumuelewa mhusika
 
Wee bana weww kaa hapa tupige umbea,umbea na critical thinking haviendani kabisa.
 
Kwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.
😀😀😀😂Maneno mengi afu kazi hamna
 
Back
Top Bottom