amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Madai yake anamrusha roho mtalaka mdogo.Now nimeelewa kwann harusi imekuwa na mbwembwe.
Mswahili mno.
Hivi odo sisi kanisani hapatuhusu maana tunapiga umbengenya tu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madai yake anamrusha roho mtalaka mdogo.Now nimeelewa kwann harusi imekuwa na mbwembwe.
Sibishi.Mwanaume anayekaa kwenye mkeka na kula mirungi huku anasikiliza taarabu muogope.
Huwa waongo waongo mashankupe.
Mwenzaangu leo nimeamka mapema nisali ya kwanza.Madai yake anamrusha roho mtalaka mdogo.
Mswahili mno.
Hivi odo sisi kanisani hapatuhusu maana tunapiga umbengenya tu hapa.
Nimemuanzishia uzi kuleIla Dada yake Bibi Arusha DC wa kule Tanga atapasuka aiseee apunguze mwili ule.
Dc wa panganiDada ake bi harusi ni Mkuu wa wilaya Tanga huko.
Halafu mdogo yuleHahaha hizi Typo Auto ni Shida, Yes Dada Yake Bibi Harusi Bi Zainabu Abdallah atapasuka aiseee yupo kama PUTO,
Kwahyo unataka kusema wanawake over Age mid thirty wanapenda mchezo (high sexual libido) kulikoHuo Umri ndo balaa na libido aseeeh.
Bora huyo.
Huko ndo haifai
Kuliiiiiiiko unavyoweza kufikiri.Kwahyo unataka kusema wanawake over Age mid thirty wanapenda mchezo (high sexual libido) kuliko
Hivi vitoto vya late 20s tunavyokimbizana navyo?
Kama ni hvyo bora nioe wa miaka 30 na kuendelea
Wapi?Nimemuanzishia uzi kule
Aiseee "KISUGAR" ni hatari sana!! Mbona amepata katika umri mdogo sana? Halafu mwili wake mbona sio minyamanyama?Kwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.
Nimecheka sana. Umenikumbusha mtu mmoja hiviMwanaume anayekaa kwenye mkeka na kula mirungi huku anasikiliza taarabu muogope.
Huwa waongo waongo mashankupe.
Atamzalishaje wakati wanasema haidindi kwasababu ya kisukari?Kumbe..kisukari ni hatari jamani. Ila huo umri unaosema wanawake wanakuwa washamaliza kuzaa wanakuwa wa moto hatari, ndoa nyingi zinayumbia hapo na viserengeti boy kutake over.
Bora huyu atamkeep busy kwa kumzalisha zalisha.
Mwenzenu hadi adhana ya asubuhi sijaisikia kisa kulala saa saba nafatilia harusi ya msemaji.Madai yake anamrusha roho mtalaka mdogo.
Mswahili mno.
Hivi odo sisi kanisani hapatuhusu maana tunapiga umbengenya tu hapa.
NitagNimemuanzishia uzi kule
[emoji23][emoji23][emoji18]khaaaa jmnHata na hii itakufa tu haifiki 2022.
DuhhhKwa ushauri wa haraka Manara asingeoa kabisa na kama kuoa angeoa Mwanamke mkubwa above 35 au forty. Why
Manara ana kisukari kikali sana hivyo hawezi kumridhisha mke hasa mdogo kama huyo na ndio sababu kubwa ya kuachwa na mke wa kwanza.
Ila na sie wanawake bwana!Mwanaume anayekaa kwenye mkeka na kula mirungi huku anasikiliza taarabu muogope.
Huwa waongo waongo mashankupe.
Ni noma kwenye Hisabati kuna Topic inaitwa Sequence and Series yaani unajua kinachofuata Whether Arithmetic or Geometric Progression!! Yaani Wake wawili wote wameachana na haji na hata huyu ataachwa tu!!Ila na sie wanawake bwana!
Yaani wake 2 wameshidwa yeye ndo akaweze?hata km nina hamu ya ndoa!