Nakubaliana na wewe kwa 100%.
Kuna mwana JF anaitwa Somji Juma, na ni verified member. Watu walikuwa wanahoji hilo jina la Kihindi kwa mbongo. Sijajua mjadala umeishia wapi.
Wallahi nimecheka sana kaka kwa hilo bandiko eti 'Chavda Ufalansa'
Wenda na mpwae anaitwa 'Patel Uklaine'
Teh teh teh!
Assume tu kuwa wewe unaitwa Abubakari Abdalah na ukabadili dini na kuingia katika Ukristo,jina litakalobadilika ni Abubakari lakini Abdalah halitabadilika kwasababu hilo sio lako
Huyo mheshimiwa jaji jina lake ni Augustino na sio Ramadhani,Ramadhani ni la mzazi wake ambae yeye jaji hana mamlaka ya kulibadili
Nadhani umenielewa mkuu!
Assume tu kuwa wewe unaitwa Abubakari Abdalah na ukabadili dini na kuingia katika Ukristo,jina litakalobadilika ni Abubakari lakini Abdalah halitabadilika kwasababu hilo sio lako
Huyo mheshimiwa jaji jina lake ni Augustino na sio Ramadhani,Ramadhani ni la mzazi wake ambae yeye jaji hana mamlaka ya kulibadili
Nadhani umenielewa mkuu!
somji juma malekani..
Mkristu wa roman..
Msafwa wa mbeya..
kahtaan, Somji Juma hajabadili dini, kwa mujibu wa bandiko lake hapo juu. Ila kule Usafwani kwa akina Somji, majina ya watu hayashabihiani kabisa na dini zao, ndio sababu hapo juu nimesema kwamba si ajabu kukutana na mzee wa kanisa au mchungaji akienda kwa jina la Hussein, Juma au Hassan au Abdallah n.k. Kule jina ni jina tu.Kwa hio unataka kusema Somji Juma alikuwa mkristo akabadili akawa muhindu ndio maana akaitwa SOMJI juma badala ya kabati juma!
Au nimekosea namna ya kupanga maneno!?
Mkuu mi nasema hawa Wahindi wamecheza sana faulo!
We.mpaka sisi waafrika tunawapa watoto wetu majina yao unadhani kuna usalama hapo!?
Msafwa wa mbeya aitwe SOMJI! na mdogo wake RAJU!
Halafu sasa hivi utaskia jirani yake Amita bhachan! Na Govinda!
Hii si balaa!
Cc BwaNCHUCHU
kahtaan,Kwa hio unataka kusema Somji Juma alikuwa mkristo akabadili akawa muhindu ndio maana akaitwa SOMJI juma badala ya kabati juma!
Au nimekosea namna ya kupanga maneno!?
We Mwene, mwagona.
Mie nilijua we Mhindi, kumbe 'Nsafwa'. Unatokea Usafwa ipi kwa pale Mbeya?
Mwagona,,simambwe..
Kissable lips.....ana midomo mizuri....hizo lips
Mkuu sijaelewa.......nani huyu......?
Kwa hio unataka kusema Somji Juma alikuwa mkristo akabadili akawa muhindu ndio maana akaitwa SOMJI juma badala ya kabati juma!
Au nimekosea namna ya kupanga maneno!?
Unaniulizaje jambo ambalo linamhusu mtu mwingine we maamuma?
Au umelewa Kahawa?
Teh teh teh!
Mzee wa makalio.makubwa umetoka kifungoni sio!?
Au wewe ndio huyo Somji Juma!?
Manake nyie wagalatia kwa kuiga majina ya mabwana zenu ni kitu cha kawaida kabisa!
Kenyan bride Hawa Abdulkadir poses for a photograph during her traditional Nubian wedding ceremony in Nairobi's Kibera slum on Saturday...
Dogo hebu kuwa na adabu kwa wakubwa zako
Asubuhi yote hii hata salam hakuna?
Haya malezi ya kubinuka tabu sana!
Somji Juma Malekani?!!...eeish.!!.somji juma malekani..
Mkristu wa roman..
Msafwa wa mbeya..