kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Nakubaliana na wewe kwa 100%.
Kuna mwana JF anaitwa Somji Juma, na ni verified member. Watu walikuwa wanahoji hilo jina la Kihindi kwa mbongo. Sijajua mjadala umeishia wapi.
Mkuu mi nasema hawa Wahindi wamecheza sana faulo!
We.mpaka sisi waafrika tunawapa watoto wetu majina yao unadhani kuna usalama hapo!?
Msafwa wa mbeya aitwe SOMJI! na mdogo wake RAJU!
Halafu sasa hivi utaskia jirani yake Amita bhachan! Na Govinda!
Hii si balaa!
Cc BwaNCHUCHU
Last edited by a moderator: