Harusi ya Hawa Abdulkadir na Mohammed Noah

Harusi ya Hawa Abdulkadir na Mohammed Noah

Nakubaliana na wewe kwa 100%.
Kuna mwana JF anaitwa Somji Juma, na ni verified member. Watu walikuwa wanahoji hilo jina la Kihindi kwa mbongo. Sijajua mjadala umeishia wapi.

Mkuu mi nasema hawa Wahindi wamecheza sana faulo!
We.mpaka sisi waafrika tunawapa watoto wetu majina yao unadhani kuna usalama hapo!?
Msafwa wa mbeya aitwe SOMJI! na mdogo wake RAJU!

Halafu sasa hivi utaskia jirani yake Amita bhachan! Na Govinda!

Hii si balaa!

Cc BwaNCHUCHU
 
Last edited by a moderator:
Wallahi nimecheka sana kaka kwa hilo bandiko eti 'Chavda Ufalansa'

Wenda na mpwae anaitwa 'Patel Uklaine'

Teh teh teh!

Teh teh teh!
Maalim wangu umenisababisha nicheke kwa nguvu sana hapa ofisini!
Hawa wasafwa wanachafuliwa.majina na wale wanunuzi wa mazao wa kihindi

Pamoja sana mkuu.
 
Assume tu kuwa wewe unaitwa Abubakari Abdalah na ukabadili dini na kuingia katika Ukristo,jina litakalobadilika ni Abubakari lakini Abdalah halitabadilika kwasababu hilo sio lako

Huyo mheshimiwa jaji jina lake ni Augustino na sio Ramadhani,Ramadhani ni la mzazi wake ambae yeye jaji hana mamlaka ya kulibadili

Nadhani umenielewa mkuu!

Kwa hio unataka kusema Somji Juma alikuwa mkristo akabadili akawa muhindu ndio maana akaitwa SOMJI juma badala ya kabati juma!
Au nimekosea namna ya kupanga maneno!?
 
umenena vema nadhani amekuelewa vizur nami pia nmeelewa sana.
 
Kwa hio unataka kusema Somji Juma alikuwa mkristo akabadili akawa muhindu ndio maana akaitwa SOMJI juma badala ya kabati juma!
Au nimekosea namna ya kupanga maneno!?
kahtaan, Somji Juma hajabadili dini, kwa mujibu wa bandiko lake hapo juu. Ila kule Usafwani kwa akina Somji, majina ya watu hayashabihiani kabisa na dini zao, ndio sababu hapo juu nimesema kwamba si ajabu kukutana na mzee wa kanisa au mchungaji akienda kwa jina la Hussein, Juma au Hassan au Abdallah n.k. Kule jina ni jina tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi nasema hawa Wahindi wamecheza sana faulo!
We.mpaka sisi waafrika tunawapa watoto wetu majina yao unadhani kuna usalama hapo!?
Msafwa wa mbeya aitwe SOMJI! na mdogo wake RAJU!

Halafu sasa hivi utaskia jirani yake Amita bhachan! Na Govinda!

Hii si balaa!

Cc BwaNCHUCHU

Au akshey kumar...!!

Hawakawii hawa,,

Eeeeh kahtaan bado wan zengeaa??

Taratibuu hawa watoto wetu wengi wao siku hizi wanakalia mtaa wa kigogo kwa nyumaa...

eeeh kwaheriii...
 
Last edited by a moderator:
Kwa hio unataka kusema Somji Juma alikuwa mkristo akabadili akawa muhindu ndio maana akaitwa SOMJI juma badala ya kabati juma!
Au nimekosea namna ya kupanga maneno!?

Unaniulizaje jambo ambalo linamhusu mtu mwingine we maamuma?

Au umelewa Kahawa?
 
Unaniulizaje jambo ambalo linamhusu mtu mwingine we maamuma?

Au umelewa Kahawa?

Teh teh teh!
Mzee wa makalio.makubwa umetoka kifungoni sio!?

Au wewe ndio huyo Somji Juma!?
Manake nyie wagalatia kwa kuiga majina ya mabwana zenu ni kitu cha kawaida kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!
Mzee wa makalio.makubwa umetoka kifungoni sio!?

Au wewe ndio huyo Somji Juma!?
Manake nyie wagalatia kwa kuiga majina ya mabwana zenu ni kitu cha kawaida kabisa!

Dogo hebu kuwa na adabu kwa wakubwa zako

Asubuhi yote hii hata salam hakuna?

Haya malezi ya kubinuka tabu sana!
 
_73852060_kenya22reu.jpg

Kenyan bride Hawa Abdulkadir poses for a photograph during her traditional Nubian wedding ceremony in Nairobi's Kibera slum on Saturday...

Rafiki Ab-Titchaz, mbona mwali anafanana na Aunt Ezekiel, msani wa Tanzania, au macho yangu ni mabovu?
 
Dogo hebu kuwa na adabu kwa wakubwa zako

Asubuhi yote hii hata salam hakuna?

Haya malezi ya kubinuka tabu sana!

Dogo unae kwenye kaptula yako!

Na hio asubuhi ni ya kwako!
Kwangu mimi huwezi kujua!

Na suala la kubinuka unalo wewe kwenye yale majukwaa yako ya udaku!

Wale mapashkuna wenzako kina babav walikuwa wanajiuliza ulipigwa ban kwa sababu gani!
Mi nikawajibu kuwa kwa sababu ya kukosa kosa kubaka!
Manake nyie wachungwaji ni balaa!

Naona umeomba radhi ukaachiwa!
Teh teh teh teh!
 
Back
Top Bottom