Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

Harusi ya Joti Katika Kanisa Katoliki Magomeni

JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie nyumbu
Mahusiano ya yeye kuoa na kuwa na kiduku.
Kinamletea madhara gani kiduku, styke ya kunyoa hauna mahusiano na kuulithi uzima wa milele kwa sababu ni masuala ya utamaduni na fashion na si masuala ya Mungu.
Mungu hajawahi kuwa na mahusiano na mwonekano huangalia yaliyondanj yetu.
Tumwombee adumu vyema katika ndoa.
Kazi yake ya usanii inataka awe hivyo kama identity yake hawezi katazwa kusali kwasababu tu anakiduku labda kama kinamadhara yoyote kiimani
 
Wenzie wasivae gwanda kama kwa Masanja maana iiliwatokea puani
 
JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie nyumbu
ukrisito na style ya nywele vina uhusiano gani hadi uchafuke au umekariri aliewafungisha ndoa anajua dini kuliko ww mbona hajawakatalia.
 
Nimechekaaaa! Eti atakuwa anavaa nguo za huyu mke! Mnyalukolo huyu na vituko vyake anaweza!
Yule binti ni mtoto wa kuzaliwa na huyu bibi harusi au kuna mama mwingine wa yule mtoto? Nauliza tuuu
Wamependeza lakini Hongera zao nyingi tu!
bibi arusi kakomaa sura uuuu
 
Back
Top Bottom