Central Zone
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 244
- 374
hahh aiseeeekwa iyo sasa hivi atakua anavaa nguo za huyu mke wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahh aiseeeekwa iyo sasa hivi atakua anavaa nguo za huyu mke wake
ha ha ha nimecheka sana, kuna kaukweli vinakuja tu vyenyeweUkioa ndio vinaongezeka.
Mahusiano ya yeye kuoa na kuwa na kiduku.JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie nyumbu
Isee wewe ni mjinga sana, wanaochafuwa ukristo ni wale maparoko wanaobaka na kuvilawiti vivulana.JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie nyumbu
Hivi unajidanganya kwamba Joti ni mdogo?bibi harusi ana miaka mingapi jamani mbona kama muhenga mwenzangu?
Kama sikosei joti sasa hivi hakosi kuwa na miaka 39 au 40 maana tumekuwa pamoja na mimi nina 39 now.Hivi unajidanganya kwamba Joti ni mdogo?
Possibly, kajamaa sijui kana sikoseli?Kama sikosei joti sasa hivi hakosi kuwa na miaka 39 au 40 maana tumekuwa pamoja na mimi nina 39 now.
Watu wanaona anavyoact kama mtoto anabebwa mgongoni wanafikiri ni mdogoHivi unajidanganya kwamba Joti ni mdogo?
Hata me nimeliona hili kikubwa ndoabibi harusi ana miaka mingapi jamani mbona kama muhenga mwenzangu?
ukrisito na style ya nywele vina uhusiano gani hadi uchafuke au umekariri aliewafungisha ndoa anajua dini kuliko ww mbona hajawakatalia.JOTI mbona anaacha kiduku hicho kanisani hilo kanisa wanamwangalia tu??? hovyo kweli mnauchafua ukristo nyie nyumbu
bibi arusi kakomaa sura uuuuNimechekaaaa! Eti atakuwa anavaa nguo za huyu mke! Mnyalukolo huyu na vituko vyake anaweza!
Yule binti ni mtoto wa kuzaliwa na huyu bibi harusi au kuna mama mwingine wa yule mtoto? Nauliza tuuu
Wamependeza lakini Hongera zao nyingi tu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]kwa iyo sasa hivi atakua anavaa nguo za huyu mke wake