Ndugu harusi za kifahari zimeongezeka sana licha ya kauli hizi: 'vyuma vimekaza', pesa hakuna n.k. Kama vyuma vingekuwa vimekaza kwa nini harusi za kifahari zinaongezeka?habari wadau..
hivi wasomi wa kuajiriwa taasisi za uma na private sector.. kipato chao hakiruhusu kufanya harusi za ukweli.. kama ambao hawajaenda shule kina joti wanavyozifanya...
je ni vipato vidogo au network zao..
maana harusi za wafanyabiashara na wasanii zinakuwa za ukweli.
usawa wa magu huu.. nikiicheki harusi za hawa watu mpaka wananitisha
Ndugu harusi za kifahari zimeongezeka sana licha ya kauli hizi: 'vyuma vimekaza', pesa hakuna n.k. Kama vyuma vingekuwa vimekaza kwa nini harusi za kifahari zinaongezeka?
michango ya kijinga hiyo harusi unataka ya kifahari wakti hela huna si ujinga.mimi sichangii
Yani hata mi sielewi huwa wanapataje hayo mahela?Ndugu harusi za kifahari zimeongezeka sana licha ya kauli hizi: 'vyuma vimekaza', pesa hakuna n.k. Kama vyuma vingekuwa vimekaza kwa nini harusi za kifahari zinaongezeka?
Basi una lako jamboMimi ukinialika kwenye harusi yako bila ya kunichangisha siji.
Wewe unashangaa milioni 20 ??Yani hata mi sielewi huwa wanapataje hayo mahela?
mfano hapa mtaani kuna familia ya kawaida tu..sio wa kipato kikubwa..walifanya vikao vya sendoff ..nashangaa ndan ya mwez mmoja tunaletewa kadi ati inafanyika sijui ndani ya serena..wengine hyatt!
ni sherehe ya kufuru..ukipiga hesabu ni zaod ya milion 20 zimetumika...
watu wana hela bado!
Vyuma vimekaza ndio lakini tembo hata akonde vipi hawezi kuwa kama mbuzi.matajiri nao mdororo wa uchumi umewaathiri lakini bado hawawezi kufanana na sie pangu pakavu.mtu aliyekuwaanaingia milioni kumi lwa siku enzi hizo alafu hivi sasa awe anapata nane atasema hali ni mbaya lakini haiwezi kuwa mbaya kama ya yule aliyekuwa anaingiza alfu 30 saiz anapata 5Ndugu harusi za kifahari zimeongezeka sana licha ya kauli hizi: 'vyuma vimekaza', pesa hakuna n.k. Kama vyuma vingekuwa vimekaza kwa nini harusi za kifahari zinaongezeka?
Basi una lako jambo
nyie ndo wale ambao mna lawama mwisho wa siku mseme kama sio nyie kuchangia harus isingefanyika
michango yenye lawama
joti ni maarufu..na kasambaza kad za mvhango mwez wa nane..Wewe unashangaa milioni 20 ??
je harusi ya joti ya milioni 100 haushangai
Jambo la kushangaza ni kuwa unakuta familia inatamani kufanya harusi ya gharama za milioni kumi ilhali wao wanachangia milioni moja. Hebu fikiria mtu ana shilingi mia tano, anakuomba umuongezee elfu mbili ili anunue bia, utamwelewa kweli?Vyuma vimekaza ndio lakini tembo hata akonde vipi hawezi kuwa kama mbuzi.matajiri nao mdororo wa uchumi umewaathiri lakini bado hawawezi kufanana na sie pangu pakavu.mtu aliyekuwaanaingia milioni kumi lwa siku enzi hizo alafu hivi sasa awe anapata nane atasema hali ni mbaya lakini haiwezi kuwa mbaya kama ya yule aliyekuwa anaingiza alfu 30 saiz anapata 5
Wengi wa wale unaowachangia hutawaona wewe ukiwa na ukiitisha mchango. Hii mambo itafikia kila mtu atapambana na hali yake.Michango miiiiiingiii, kuwe na ratiba ya mwaka mzima ili tujiandae kwa wanaotaka kufunga nikai, ghafula sitoi