Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
Haya wale mashabiki wa kiba msio na king'amuzi cha azam tv, huu ndio muda muafaka wa kukinunua ili muweze kushuhudia star wenu akichukia jiko huko Mombasa,Kenya.
mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


Hongera kwa azam tv kwa kutuweka karibu na star wetu siku anayofunga ndoa.
 
Da Mange kasema mnatutoa kwenye 26/4...hahaha
Watu waache kufanya mambo yao, kisa tarehe ishirini sita kuna maandamano hapa ndio utajua huyu binti hajui maana ya demokrasia kwani kwenye demokrasia kila mtu yupo huru kufanya maamuzi, yani sawa na kusema demokrasia NI KITENDO CHA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA kwa hiyo anachokiona yeye sawa , wenzake wanaona tofauti inambidi haeshimu mitazamo ya wenzake hata kama inamkera ndio demokrasia anayoipigia kelele siku zote ipo hivyo.
 
hapendag show off hyo ni nini apo kwwnye kideo cha azabakhresa???
Ndio mwenyewe anavyodai hapendi SHOW OFF na nasikia ana bidhaa zake ataziingiza sokoni sasa sijui ataziingiza kimya kimya bila SHOW OFF.
 
Kiba kapoteza mvuto.. timu yake ya mtandaoni imesambaratika mange bize na maandamano yake ya kufikirika wema karudi kwa mondi kidoti kampotezea wamebaki haters wachache wa Diamond
Kuna Clouds na EATV hili swala watalivalia njuga muda si mrefu mange ataanza kuyaweka mafaili yake naona kishamtibua ,huyu dada mda si mrefu anakuwa mwehu.
 
Nipo Dstv na sijajuta kuwepo huku.

Endeleeni na ving'amuzi vyenu vya Harusi mubashara.
 
Azam Media weingia Makubaliano na Management ya Alikiba Kurusha Live Tukio la Harusi yake Litakalo anzia Mombasa Kenya Mpaka Dar es salaam Tanzania. Mkataba huo ni wenye Thamani ya Milioni 234,330,500/= Unamfanya Alikiba kua Msanii wa Kwanza Kufanya Tukio la Kipekee kama Hilo. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa hivi Karibuni wiki hii. Hongera kwa Management nzima ya Alikiba na Wasaidizi wake.
 
Kwenye hela umetudananya, hao Simba na Yanga msimu mzima wanalipwa, milioni 100. Hiyo sherehe kama imezidi sana mil 20.
 
Mbona hii harusi ina promo zisizo na kichwa wala miguu? Hivi huyo ndio wa kwanza kuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…