Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaa haaaa...dawa imeingia bila shakaBasi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.
...wachawi hawajifichi !Halafu baada ya wiki talaka!!!! Shwaini!
Wethr kinachoongelewa ni kweli au lah...wew hujakielewa! Soma upya ueleweNi muendelezo wa mawazo ya kimaskini uliogubika nchi zetu za kiafrica, kwani akifanya kawaida atapungukiwa nini kuliko kutumia fedha vibaya kiasi hiko? Watu wanakufa njaa huko badala ya kuwasaidia wao wanafuja fedha!!!.
Nini kisicho eleweka sasa, nimeelewa iwe ni kweli ama laa ni ujinga tuu!Wethr kinachoongelewa ni kweli au lah...wew hujakielewa! Soma upya uelewe
Usiwe kiburi...penda kujifunza! Soma hyo post upya ueleweNini kisicho eleweka sasa, nimeelewa iwe ni kweli ama laa ni ujinga tuu!
fact kabisa sema wabongo kwa kujitia ujinga hawajamboKawadanye wenzio ndugu yangu,mimi Azam nawafaham vizuri,but if you have any document to prove that he got $90K,just put it here.Simba na Yanga ni brand kubwa msimu wa sita huu wanakula mil 100,mechi zaidi ya 25 hilo tukio la masaa manne upewe $90k,sio Azam hao.
Ahahaaaaaaaaaaah...Azam Media weingia Makubaliano na Management ya Alikiba Kurusha Live Tukio la Harusi yake Litakalo anzia Mombasa Kenya Mpaka Dar es salaam Tanzania. Mkataba huo ni wenye Thamani ya Milioni 234,330,500/= Unamfanya Alikiba kua Msanii wa Kwanza Kufanya Tukio la Kipekee kama Hilo. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa hivi Karibuni wiki hii. Hongera kwa Management nzima ya Alikiba na Wasaidizi wake.
Ruhusu ubongo wako ufanye kazi yake japo kidogo mkuu..!It's $ 90,000/= Piga hesabu mkuu
Milioni 200+ kwaajili ya kurusha tukio la harusi tu,au kuna kingine..!?Basi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.
Azam Media weingia Makubaliano na Management ya Alikiba Kurusha Live Tukio la Harusi yake Litakalo anzia Mombasa Kenya Mpaka Dar es salaam Tanzania. Mkataba huo ni wenye Thamani ya Milioni 234,330,500/= Unamfanya Alikiba kua Msanii wa Kwanza Kufanya Tukio la Kipekee kama Hilo. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa hivi Karibuni wiki hii. Hongera kwa Management nzima ya Alikiba na Wasaidizi wake.
Basi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.
Tunadanganya sana[emoji23][emoji23][emoji23]tunaambiwa msanii wa kwanza kufanya tukio la pekee. Kmbe na joti alishajifanyiaga