Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

Basi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.
hahaaaa haaaa...dawa imeingia bila shaka
 
Mbona Mange kila kitu anasema kimepangwa kutupoteza. Ina maana mtu asifunge ndoa kwasababu ya maandamano. Huyu dem vipiii....
 
acha uongo ali kiba100 hapendi show off harusi utawea ndani ya masai club
 
Ni muendelezo wa mawazo ya kimaskini uliogubika nchi zetu za kiafrica, kwani akifanya kawaida atapungukiwa nini kuliko kutumia fedha vibaya kiasi hiko? Watu wanakufa njaa huko badala ya kuwasaidia wao wanafuja fedha!!!.
Wethr kinachoongelewa ni kweli au lah...wew hujakielewa! Soma upya uelewe
 
Kawadanye wenzio ndugu yangu,mimi Azam nawafaham vizuri,but if you have any document to prove that he got $90K,just put it here.Simba na Yanga ni brand kubwa msimu wa sita huu wanakula mil 100,mechi zaidi ya 25 hilo tukio la masaa manne upewe $90k,sio Azam hao.
fact kabisa sema wabongo kwa kujitia ujinga hawajambo
 
Azam Media weingia Makubaliano na Management ya Alikiba Kurusha Live Tukio la Harusi yake Litakalo anzia Mombasa Kenya Mpaka Dar es salaam Tanzania. Mkataba huo ni wenye Thamani ya Milioni 234,330,500/= Unamfanya Alikiba kua Msanii wa Kwanza Kufanya Tukio la Kipekee kama Hilo. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa hivi Karibuni wiki hii. Hongera kwa Management nzima ya Alikiba na Wasaidizi wake.
Ahahaaaaaaaaaaah...
Ebu tuache kufanyana wapuuzi..!
Ina maana uchumi wa nchi yetu umekua mkubwa namna hii..?
 
Ni mipango ya mkuu wa mkoa kumtoa da Mange kwenye reli
 
Basi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.
Milioni 200+ kwaajili ya kurusha tukio la harusi tu,au kuna kingine..!?
 
Azam Media weingia Makubaliano na Management ya Alikiba Kurusha Live Tukio la Harusi yake Litakalo anzia Mombasa Kenya Mpaka Dar es salaam Tanzania. Mkataba huo ni wenye Thamani ya Milioni 234,330,500/= Unamfanya Alikiba kua Msanii wa Kwanza Kufanya Tukio la Kipekee kama Hilo. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa hivi Karibuni wiki hii. Hongera kwa Management nzima ya Alikiba na Wasaidizi wake.

Acha uwongo wewe
hiyo pesa Azam atapata faida gani
A single day tena masaa 4 tu alipwe Million 200 wadanganye wenzako
 
Basi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.

Dada wewe unapata shilingi ngapi hapo
 
Back
Top Bottom