Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

hahahha Ka kIBA atamuudhi da Mange maana Da Mange hataki jambo lolote lifanyike maana litatutoa kwenye reli kuelekea 264 hahahaha hakika Alikiba jiandae kulowa matusi....
 
It's $ 90,000/= Piga hesabu mkuu
Kawadanye wenzio ndugu yangu,mimi Azam nawafaham vizuri,but if you have any document to prove that he got $90K,just put it here.Simba na Yanga ni brand kubwa msimu wa sita huu wanakula mil 100,mechi zaidi ya 25 hilo tukio la masaa manne upewe $90k,sio Azam hao.
 
Ni muendelezo wa mawazo ya kimaskini uliogubika nchi zetu za kiafrica, kwani akifanya kawaida atapungukiwa nini kuliko kutumia fedha vibaya kiasi hiko? Watu wanakufa njaa huko badala ya kuwasaidia wao wanafuja fedha!!!.
 
Kawadanye wenzio ndugu yangu,mimi Azam nawafaham vizuri,bu if you have any document to prove that he got $90K,iweke hapa.Simba na Yanga ni brand kubwa msimu wa sita huu wanakula mil 100,mechi zaidi ya 25 hilo tukio la masaa manne upewe $90k,sio Azam hao.
Basi wewe ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, wewe ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa waingie vizuri ili mpone utoto wenu.
 
Basi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.
Sifanyi kazi azam nina lundo la washkaji wapo pale ,wanapiga kazi na ndio maana nakukatalia na najua mpaka payment ya baadhi ya vipindi pale,usitake nifunguke sana.
 
Basi ww ndo Bakheresa, wewe ndo Mzee Tido, ww ndo yahaya Mohamed unajua Kila kitu Boss. Tuufunge huu Mjadala maana sina sababu ya kukupa ushahidi, wewe Kama Ndo Boss wa Azam. Naona mmepanic na Kiki zenu za Video za Kitoto Huyo ndo Alikiba Amewapiga za Chembe. Hii Inaitwa KO. Tayari Makampuni 19 yamesha sign Mkataba Kubrand na Sponsorship ya Hiyo Event , Achilia Mbali Full sponsorship ya Governor wa Kaunti ya Mombasa Mr. Joho. Achilia Mbali Mgeni Rasmi kua Jakaya Kikwete. Kuna Surprise ya Msanii Mkubwa wa Kike Kutumbuiza on that day. Nikushauri tu Acha Dawa Iwaingie Vizuri ili Mpone Utoto wenu.
Kumbe mambo ya team!
 
Sifany kazi azam nina lundo la washkaji wapo pale ,wanapiga kazi na ndio maana nakukatalia na najua mpaka payment ya baadi ya vipind pale,usitake nifunguke sana.
Kumbe habari za Kuambiwa na Washkaji? Pole, Nilizani Umeambiwa na Yusuph au Tido. Mimi ni Mmoja wa Top Management ya Alikiba. Nasema hivi Tumelipwa $90,000/= na Tayari wameshatoa 70% of the Agreement. Subirini Tarehe 26 Uandamane Kupinga huo Mkataba. Case Closed.
 
Jifurahishe.
 
Ni muendelezo wa mawazo ya kimaskini uliogubika nchi zetu za kiafrica, kwani akifanya kawaida atapungukiwa nini kuliko kutumia fedha vibaya kiasi hiko? Watu wanakufa njaa huko badala ya kuwasaidia wao wanafuja fedha!!!.
Hela zake, usimpangie.
 
Ni muendelezo wa mawazo ya kimaskini uliogubika nchi zetu za kiafrica, kwani akifanya kawaida atapungukiwa nini kuliko kutumia fedha vibaya kiasi hiko? Watu wanakufa njaa huko badala ya kuwasaidia wao wanafuja fedha!!!.
mzee wewe ndo una mawazo ya kimaskini..akili ya biashara huna!

Labda nikufanunulie kirahisi kabisa.
..Azam Tv wao wamenunua rights za kurusha hiyo harusi, sasa wao hawafanyi biashara ya hasara! Kupitia hii harusi, kuna watu watanunua vifurushi na wengine watanunua hata ving'amuzi ili wafuatilie tukio, vile vile watapata matangazo ambayo yatakuwa ghali tofauti na siku nyingine.

Kama wana website, youtube channell hata fb ads kote watapiga pesa, kumbuka ni wao tu wanaruhusiwa kupiga picha na kurekodi matukio ya harusi nzima.
 
Kwa hio anaetoa hio pesa ni alikiba au ni azam, kama ni alikiba nadiriki kusema huu ni ujinga na siku ikitoke hizo alizo nazo zikimuisha hatokua na wakumlaumu. other ways yawe ni mambo ya siasa.
 
Back
Top Bottom