Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
haya wale mashabiki wa kiba msio na king'amuzi cha azam tv, huu ndio muda muafaka wa kukinunua ili muweze kushuhudia star wenu akichukia jiko huko mombasa,kenya.
mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 747900
hongera kwa azam tv kwa kutuweka karibu na star wetu siku anayofunga ndoa.