Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Wakenya hawana shida wabongo sisi tuna shidaaai just love the attention the media and bloggers of kenya are giving to ali kiba's wedding.
it's indeed we run the showbiz in EA.
viva tanzania [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 750340View attachment 750341
NB:
the swahili ceremony party is taking place right now in mombasa.
you can watch the event live on azam tv decoder via channel number 103 or azam tv app.
mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 750343
Nampenda mtulivuu haswaaWifi yetu mzuri sana kwa sura
hata utulivu wa ukumbini,nimependa ustaarabu wa wakenya. wanamsikiliza sana MC.Wakenya hawana shida wabongo sisi tuna shidaaa
Tatizo wewe unaangalia TBCPesa zipi? mbona hawajarusha live?
Hahaaa!sio ushiwaladuu ndo ukweli huooo!!hata utulivu wa ukumbini,nimependa ustaarabu wa wakenya. wanamsikiliza sana MC.
hali ingekuwa tofauti sana hapa kwetu, kila mwenye kismatifoni chake angekuwa anajipitisha mbele ya bibi harusi kupiga naye selfie.
sipati picha madada madanga ya mjini yangejipitishaje mbele ya camera za azamtv.
nimekomenti kishilawadu leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa!TV ya watu wa vijijini!Tatizo wewe unaangalia TBC
Hahaaa!TV za kijijinii hizoooachana na tbc kaka.
vipi kama umeshangaa kwa uzuri hamna shida lakini kama umeguna kwa kukosoa utakuwa uchawi tu unakusumbuaalomfanyia makeup bi harusi dooh
Ndio mdau anaangalia akisubiri arusi ya Kiba ionyeshwe, labda asubiri kwenye CherekoHahahaaaa!TV ya watu wa vijijini!
Hahahaaahaa!!!asubiri chereko cherekoooo!!!jamaniii loooh!Ndio mdau anaangalia akisubiri arusi ya Kiba ionyeshwe, labda asubiri kwenye Chereko
Hahah ..tv "nzee"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I love that simple and clear!alomfanyia makeup bi harusi dooh
Hahah!!!Hahahaaahaa!!!asubiri chereko cherekoooo!!!jamaniii loooh!