Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

i just love the attention the media and bloggers of kenya are giving to ali kiba's wedding.

it's indeed we run the showbiz in EA.
viva tanzania [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 750340View attachment 750341

NB:
the swahili ceremony party is taking place right now in mombasa.

you can watch the event live on azam tv decoder via channel number 103 or azam tv app.
mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 750343
Wakenya hawana shida wabongo sisi tuna shidaaa
 
Wakenya hawana shida wabongo sisi tuna shidaaa
hata utulivu wa ukumbini,nimependa ustaarabu wa wakenya. wanamsikiliza sana MC.

hali ingekuwa tofauti sana hapa kwetu, kila mwenye kismatifoni chake angekuwa anajipitisha mbele ya bibi harusi kupiga naye selfie.

sipati picha madada madanga ya mjini yangejipitishaje mbele ya camera za azamtv.
nimekomenti kishilawadu leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaa!sio ushiwaladuu ndo ukweli huooo!!

Kwanza hvyo vinguo wadada wa bongo wanavaa hovyoo "vingwinda"tu vya kuonyesha mapaja yaoo na nyuchi zao!
 
Back
Top Bottom