Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
We talk about Gift.
au Talanta kila Mtu anayo ya kwake...
Kwahiyo unatakiwa ujue Elimu sio Ufunguo wa Maisha, Kwa sasa ukija duniani na jambo la kifundishwa darasani hupati kazi, wasomi wa syllabus ni wengi sana.
Sasa mbinu ya kujikwamua ni hii...
Angalia wewe unaweza sana Kitu gani, alafu komaa na hicho sanaaa, yani kifanye sanaaa hadi dunia ikukome hapo ndio utatoboa kimaisha. bila hivo pole, Kwahiyo vijana acheni Uvivu,
Onyesha kipaji chako, kila unapokuwa na kila uendapo, Feed it feed it, feed your gift all the time,
Mfano wewe unakipaji cha Kufundisha fundisha sanaaa kuwazidi wengine ili kila mtu aone wewe ni bora kuliko wengine. bidii
Kama kipaji chako ni Mtawala wa Mapenzi, basi yatawale kweli kweli.
Nikupe mfano, kuna mwanamke mmoja ni single mother ila zuri balaa,
yani hajifichi kwamba yeye ni kahaba, ni anatoa huduma kwa wote,
Kitu muhimu ni wewe umpe malipo yake, akithi mahitaji yake,
Sasa huyu Kidoshodosho alikuwa Mteja wangu kwenye Tigo pesa Wakala, Kwa miamala alikuwa vizuri, nina namba zake za simu, aisee naona anabland kazi yake WhatsApp status kuwa baadhi ya watu ukiwa nao ni kama Dawa, kila ukiwa nae unaona mambo yako yote yapo sawa na raha tupu.
Nyie makahaba yanabembeleza sio poa, Yanatoa huduma sio poa
Sasa wewe kaa kiboya hapo huna kipaji cha kufanya mapenzi, tafutq kipaji kingine fanya kwa bidii
Kama ni kufua nguo, fua sana acha uvivu fua nguo aina zote, nyoosha vizuri kabisa Dobi unakaa kiboya boya unaleta nguo zimepinda alafu unasema maisha Magumu sina hela.
Aisee nimeona Juhudi za uyo Kidoshodosho kwa mbali, inafika hatua ma mimi natamani huduma yake,
Yami ni anajua kubembeleza, Lugha nzuri Muda wote, alafu lizuri sasa.
Sio malaya unauza na huna nyege acha tu hiyo kazi unawakela tu wakaka wa watu.
Hakikisha una jambo lako moja unalifanya vizuri sana kuliko wengine..
Mfano mwingine
Kama kupika, pika mapishi hadi waombe poo
Kama ni Kuuza matunda uza matunda kua kwenye uuzaji wa matunda hadi wa kukome acha kuruka ruka, soma jua hadi kila tunda lina vitamin gani
Kwani wewe una kipaji gani ? usijari watu wanasemaje, kumbuka kuna muda watasema huwezi, lakini wewe unaamini kipaji chako ni kipi ? Kama ni Kutunza Watoto, chochea basi tuone ubora wako, usidharau kipaji chako
Huduma unayotoa kwa wengine ni muhimu, beki tatu unaweza ukaona kazi ya kiboya,
Lakini wapo mabeki tatu wanalipwa mishahara mizuri na maisha yanenda, usizalau kazi do the best
1. Chakula na Vinywaji
2. Sex
3. Fame
4. Money and Power