Hivi ni mwanamme au mie mende nawe mavi, achana na mimi mwehu weweMende mkubwa wewe
Naona la mende limekugusa nami nakazia hapohapo..🤣😅Hivi ni mwanamme au mie mende nawe mavi, achana na mimi mwehu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ubaharia mkuu UKIMWI na KORONA bado vipo saaaana😀😀😀kuna moja humu alikuwa maarufu miaka ya 2015 mpaka 2017 akiwa na avatar inayotia hamu, nikamuibukia na id nyingine mwanzo akajifanya hataki kabisa mambo hayo.
Siku ameingia line tukakutana duuuh nilikutana na historical sites za Amboni na Irangi kuanzia hapo hata kwenye jukwaa la MMU namwona kwa manati tena anachangia kidogo sana maana tunamjua. [emoji23][emoji23][emoji23]
Story za mnato kaacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi kumuuliza inaonekana ujumbe wangu umemuuzi.. lkn mi nimezungumzia kinamba kitu kikiwa kidogo si kinagawanwa kama hakitoshi wote!!Hata mimi sijui, labda tumuulize baada ya hasira kupoa😎
Mkuu usinitafutie matatizo aisee. 😕Jitahidi kumuuliza inaonekana ujumbe wangu umemuuzi.. lkn mi nimezungumzia kinamba kitu kikiwa kidogo si kinagawanwa kama hakitoshi wote!!
Sasa ye anataka hao wengine wakose wakati wanaume tupo wachache..😅
Ye naona kakasirika kinyama sijui wamemfanyaje huko!Mkuu usinitafutie matatizo aisee. 😕
Wewe huyo?!! Hongera sanaNdani ya hii miaka 2 nauhakika 100% umeliwa na wanaume 2+
Pole Sana kwa kuchezea paipu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza kuta anachezea paipu za wana kila mara.
😂😂Miaka ni mbali saana bhana mwambie aseme ukweli
we ng'ombe utamshaurije mkulima asikukamue....tulia hadi ukiwa na uwezo wa kuvaa hivyo viatuHakuna kitu kinaua ndoa kama michepuko!
Laiti wanaume mngejua ni jinsi gani mnaumiza hisia za wake zenu mkichepuka msingefanya hivyo hata kidogo!ukweli ni kwamba wengi wanavumilia au tunavumilia kwasababu tu ya kipato manake unawaza ukiondoka utawaleaje watoto!Ila wengi mapenzi kwa waume zao yashakufa zamani kwasababu ya michepuko
Namuonea huruma mkeo maskiniwe ng'ombe utamshaurije mkulima asikukamue....tulia hadi ukiwa na uwezo wa kuvaa hivyo viatu
Dada mbona povu sana? Kwataarifa yako 90% ya wanaume, wana michepuko ukubali usikubali. Na hiyo sii kwamba wao ni malaya, hapana. Tangu enzi za kuumbwa kwa ulimwengu, tulikuwa free kabisa kufanya hayo tena mbele za Mungu mwenyewe. Kama wewe ni muislam utaelewa hili, na kama ni Mkristo, muulize Sarah, muulize mchumba wa Yakobo kilichompata. Jiweke kwenye nafasi ya mke mkubwa wa Solomoni, kisha ulete mrejesho. Kilichobadilika ni kuwa, wao walirasimisha mahusiano yao wakati sisi tumepigwa limitation na wazungu.Kuna wanaume hata ufanye hayo yote watachepuka tu
Mnachoshindwa kujiongeza ni kuwa hata mwanamke ni binadamu na ana udhaifu wake pia
Asa nyie mnataka mtu awe safi bila kasoro yoyote
Nadhani wa hivo atakua tu mama yako mzazi ndo ambae atalolisema kwako ni sheria