Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza kuta anachezea paipu za wana kila mara.
Si unajua wanawake na sifa za kimuonekano/za nje/za kuambiwa/kusifiwa
 
Hivi ni mwanamme au mie mende nawe mavi, achana na mimi mwehu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona la mende limekugusa nami nakazia hapohapo..🤣😅

Sawa mi mavi ila ya ng'ombe
Sasa we uharo wa binadamu asiefahamika sijui unakipi cha kuteta😅😅

Mkuu usikasirike ni utani dah!
 
kuna moja humu alikuwa maarufu miaka ya 2015 mpaka 2017 akiwa na avatar inayotia hamu, nikamuibukia na id nyingine mwanzo akajifanya hataki kabisa mambo hayo.

Siku ameingia line tukakutana duuuh nilikutana na historical sites za Amboni na Irangi kuanzia hapo hata kwenye jukwaa la MMU namwona kwa manati tena anachangia kidogo sana maana tunamjua. [emoji23][emoji23][emoji23]

Story za mnato kaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza ubaharia mkuu UKIMWI na KORONA bado vipo saaaana😀😀😀
 
Hata mimi sijui, labda tumuulize baada ya hasira kupoa😎
Jitahidi kumuuliza inaonekana ujumbe wangu umemuuzi.. lkn mi nimezungumzia kinamba kitu kikiwa kidogo si kinagawanwa kama hakitoshi wote!!
Sasa ye anataka hao wengine wakose wakati wanaume tupo wachache..😅
 
Tuwekee na za Warembo pia.
Mzee baba ntaleta si unanijua tena mi na nyuzi zangu tangu kitamboooo, waermbo hawakosekani tena wa hapahapa bongo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jitahidi kumuuliza inaonekana ujumbe wangu umemuuzi.. lkn mi nimezungumzia kinamba kitu kikiwa kidogo si kinagawanwa kama hakitoshi wote!!
Sasa ye anataka hao wengine wakose wakati wanaume tupo wachache..😅
Mkuu usinitafutie matatizo aisee. 😕
 
Hakuna kitu kinaua ndoa kama michepuko!
Laiti wanaume mngejua ni jinsi gani mnaumiza hisia za wake zenu mkichepuka msingefanya hivyo hata kidogo!ukweli ni kwamba wengi wanavumilia au tunavumilia kwasababu tu ya kipato manake unawaza ukiondoka utawaleaje watoto!Ila wengi mapenzi kwa waume zao yashakufa zamani kwasababu ya michepuko
we ng'ombe utamshaurije mkulima asikukamue....tulia hadi ukiwa na uwezo wa kuvaa hivyo viatu
 
Principle yangu moja tu, I will never cheat my wife, though haniamin na ananituhumu kila siku..kwa vile sifanyi nina amani ya moyo na sijali anavyosema, siku nkigundua ananisaliti anarudi kwao, full stop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasara namba 8 hutokea kwa wanaume wapumbavu tu. Mchepuko kamwe hauwezi kunikosesha uhuru na familia yangu. Labda aniweke kwenye chupa.
 
Kuna wanaume hata ufanye hayo yote watachepuka tu
Mnachoshindwa kujiongeza ni kuwa hata mwanamke ni binadamu na ana udhaifu wake pia
Asa nyie mnataka mtu awe safi bila kasoro yoyote
Nadhani wa hivo atakua tu mama yako mzazi ndo ambae atalolisema kwako ni sheria
Dada mbona povu sana? Kwataarifa yako 90% ya wanaume, wana michepuko ukubali usikubali. Na hiyo sii kwamba wao ni malaya, hapana. Tangu enzi za kuumbwa kwa ulimwengu, tulikuwa free kabisa kufanya hayo tena mbele za Mungu mwenyewe. Kama wewe ni muislam utaelewa hili, na kama ni Mkristo, muulize Sarah, muulize mchumba wa Yakobo kilichompata. Jiweke kwenye nafasi ya mke mkubwa wa Solomoni, kisha ulete mrejesho. Kilichobadilika ni kuwa, wao walirasimisha mahusiano yao wakati sisi tumepigwa limitation na wazungu.
 
Back
Top Bottom