Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

Watanzania miongoni mwa waleta Uzi ni wapumbavu sana!

Huo mkataba una miaka mingapi tangu umevunjwa.?

Waliogopa nini kwenda mahakamani kipindi cha huyo mvunja mkataba?

Hujiulizi Kwa nini kipindi kirefu sana cha nyuma huko Tz haikuwa inashinda kesi yoyote ya mikataba?

Zama zile na za zama hizi tuliopo, kuna utofauti gani?

Watanzania nyinyi mmelogwa?

Mbona wajinga kiasi hiki?

Kila mkataba uliovunjwa ukisikia mwenye mkataba anashitaki, ujue kuna mbongo mpiga debe na ni mnufaika wa moja Kwa moja wa hizo kesi!
 
Ukweli mtupu.

Tundu Lissu ni mzalendo kweli kweli
Tindu Lissu huyu aliyewahi kula fedha ya barick na kuja kututishia kuwa tusivunje mkataba,tutashitakiwa miga.kweli watanganyika hatuko siriasy na rasilimali zetu ndio maana tunaendelea kuwa masikini Wakati tunazoraslimali nyingi za kututoa katika umaskini.
 
..Na Magufuli alihongwa kiasi gani mpaka akakubali tulipwe kishika uchumba cha usd 300 million badala ya usd 190+ billion?

..Na hicho kishika uchumba tulikuwa tunalipwa kidogo kidogo na haijulikani kama wamemaliza kutulipa au la.

..Na kwa taarifa yako tulishtakiwa na Accacia na tulikuja kuokolewa na Barrick.
 
Wewe ni empty kichwani unaongea Mambo ambayo yanakuzidi kimo,eti tulishitakiwa na Accacia tukaokolewa na Barrick,Wewe unajua hao Accacia walikujaje hapa nchini?tafuta tarifa ujisomee uone Accacia walikujaje hapa,akuna mzungu wa kukuurumia kama ataona nafasi ya kupata hela,acha kudanganywa na Lissu eti Barrick walituokoa, wakati Barrick na Accacia ni watoto wa baba mmoja.
 
..twende taratibu.

..haya mambo hayataki hasira.

..kwanza tueleze madai ya usd 190 billion dhidi ya accacia / barrick yameishia wapi.

..pili tueleze accacia wamepotelea wapi, kwanini hawapo sasa hivi?

..tatu kwanini tulikubali kishika uchumba cha usd 300 million na kulipwa kidogo kidogo? Je, barrick wamemaliza kulipa kishika uchumba?

..nne sote tunakubaliana kuwa accacia walitupiga. Sasa kwanini hatukuwashtaki ili tupate haki yetu? Je kuna ndugu zetu walihongwa ili Tz isishtaki?

NB:

..taarifa za accacia kutushtaki zilikuja hapa Jamii Forums ila vijana hamjisumbui na hamtaki kabisa kusoma.
 
Ndio maana nimekwambia kama haujui mambo mengine bora kunyamaza, kumbuka hao akina Accacia na Barrick walikuwepo kisheria tokea henzi za Mkapa,akuna Mtu aliyewagusa, sababu kwa ujinga wa mikataba mibovu tuliyoingia,ilibidi Selikari ya Magufuli itumie akili kubwa ili kuwaingia iliwaweze kuvunja mikataba hiyo ya kijinga, Wewe unaangalia kishika uchumba tu,haungali,mafanikio yaliyopatakana baada ya kuvunja mkataba, Sasahivi tunapata 16% ya mrabaa kutoka 3%Sasahivi inabidi wafungue account zao za mauzo hapa nchini kitu kilicho kuwa akipo.Makinikia hayasafirishwi tena hata yakisafirishwa lazima serikali inaweka watu wake kujua kilichopatika,kitu ambacho akikuwepo tokea hapo kuna faida ya 50/50 baada ya kutoa cost yao, Sasahivi inabidi company yao kujiorozesha katika mashirika ya hisa, mambo Mengi yalifanyika ila nyinyi kwasababu mnadanganywa na Lissu amwezi kuona,eti tuwaguse tutashitakiwa miga,mwanasheria nguli anaogopa kushitakiwa,alafu anaomba urais,ujinga mtupu.
 
..hebu nishawishi busara ya kukubali usd 300 mil badala ya usd 190 bil tuliyosema wameiba.

..sisi ndio tulitakiwa tuwashitaki accacia / barrick miga kwasababu ripoti zilidai zimegundua wizi wa mabilioni ya dola.
 
Ndio maana nimekwambia kama haujui mambo mengine bora kunyamaza, kumbuka hao akina Accacia na Barrick walikuwepo kisheria tokea henzi za Mkapa,akuna Mtu aliyewagusa, sababu kwa ujinga wa mikataba mibovu tuliyoingia,ilibidi Selikari ya Magufuli itumie akili kubwa ili kuwaingia iliwaweze kuvunja mikataba hiyo ya kijinga, Wewe unaangalia kishika uchumba tu,haungali,mafanikio yaliyopatakana baada ya kuvunja mkataba, Sasahivi tunapata 16% ya mrabaa kutoka 3%Sasahivi inabidi wafungue account zao za mauzo hapa nchini kitu kilicho kuwa akipo.Makinikia hayasafirishwi tena hata yakisafirishwa lazima serikali inaweka watu wake kujua kilichopatika,kitu ambacho akikuwepo tokea hapo kuna faida ya 50/50 baada ya kutoa cost yao, Sasahivi inabidi company yao kujiorozesha katika mashirika ya hisa, mambo Mengi yalifanyika ila nyinyi kwasababu mnadanganywa na Lissu amwezi kuona,eti tuwaguse tutashitakiwa miga,mwanasheria nguli anaogopa kushitakiwa,alafu anaomba urais,ujinga mtupu.
Duu
 
Back
Top Bottom