Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona Yesu hakuumwa kichwa
na hakuwahi poteza umakini katika kazi yakeMbona Yesu hakuumwa kichwa
🤣😂😅Alaa haihesabiki kwa wale wapiga nyeto😀
Yesu alikuwa na demu wake Maria Magdalena ,ata kwenye last supper siku ile alikuwepoMbona Yesu hakuumwa kichwa
🏃🏃🏃Alaa haihesabiki kwa wale wapiga nyeto😀
Yah kama Isaac Newton,naskia akuwa na demu😀😀ila historia Ina uongo mwingi sana,Jesus naye upande WA relationship hauzungumziwi kabisaMbona kunawatu makini sana wamepita katika hii Dunia na kufanya maajabu ya kisayansi na taarifa zao zina sema mapenzi kwao sio ishu hawakuwa wanapoteza umakini katika kazi?
Aisee mpungaze zinaa kizazi kibaya na Cha zinaa.
Haikuandikwa au tulifichwaWewe unajuaje hakuumwa?