Hasara za kutoku-Sex kwa mda mrefu

Mkuyenge wa sir Issac we ndo ulikuwa unaushika Hadi useme hakuwa anafanya Sana ,,we ulikuepo kipindi hio kwanza
 
Vizuri
 
Nina miaka 25 na sijawahi kufanya mapenzi. Niko fit kabisa. People trust me na uwezo wa mwili uko byee kabisa. Na nimefanikisha baadhi ya malengo.
Siko interested sana na mapenzi mpaka hapo mbeleni baada ya miaka 3 ntakapo oa.
Sioni madhara yoyote labda wenaofanya ndo naona madhara kwao. Hasa wale wa hit and run.
 
Tuwe makini sana 👆🔥
 
Nimeongeza Content, soma unambie umepona wapi
 
Soma tena content ya uwo uzi unambie sio sayansi humo ndani?
 
Hakuna ukweli hapo .
Sex Iko overrated sana.

Mbona Yesu kaishi 33 years bila sex na hakuwa na hasira za hovyo, Wala kuchekacheka na uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa kushinda wa MAFARISAYO wasomi.
Kakuta watu wanafanya biashara zao kwa uhuru tu aakanza kuwahshambulia huoni hizo ni hasira za haraka na hovyo hovyo
 
Nimeongeza Content, soma unambie umepona wapi
Kiongozi, mi sijaona hayo madhara yanayoelezwa. Labda kama sijioni. Na suala la kuchekacheka nimesha experience kwa baadhi ya wanawake. Kama yatakuja huko mbeleni basi niombeeni, mana sasa hivi ndo mapenzi hayapo kichwani baada ya kugundua wadada zetu hawa mpaka uwe na hela ndo wanaweza tulia japo kwa kukucontrol.
Kama kuna madhara ya kisayansi ya kukosa hela naomba ulete huo uzi pia. Maana kisaikolojia yanajulikana sana. Asante
 
Wewe ukisikia hamu ya kufanya mapenzi unafanyaga nn kujituliza?

Au hausikii kabisa
 
Kwa uzoefu wangu, nathibitisha namba 1, 2, 4, msongo wa mawazo, na kuongezeka kwa hedhi ni kweli kabisa nimepitia hizo hali kwa kukaa zaidi ya miaka 3 bila kuzagamuliwa
 
Kwa uzoefu wangu, nathibitisha namba 1, 2, 4, msongo wa mawazo, na kuongezeka kwa hedhi ni kweli kabisa nimepitia hizo hali kwa kukaa zaidi ya miaka 3 bila kuzagamuliwa
Good kwa kuwa muaminifu.

Ni kweli sio lazima upate dalili za madhara yote, kila mwili una kiasi chake cha Hormone , na tunatofautiana .
 
Wewe ukisikia hamu ya kufanya mapenzi unafanyaga nn kujituliza?

Au hausikii kabisa
Mwaka mmmoja nyuma wakati nipo shule nilikua napiga ny*to. Lakini thanks God niliacha baada ya kuona nafsi yangu inanilaumu. For now nina stress za hela na kusoma sana. Hamu zikija nakumbuka kiapo nilicho apa kwamba nikirudia basi Mungu asiruhusu ndoto zangu zifanikiwe. Hivyo nafungulia mziki sana na kusoma
 
Nyeto ina mazara makubwa, unalegeza misuli ya uume wako. Unakuja kuona kimoja chali
 
Kakuta watu wanafanya biashara zao kwa uhuru tu aakanza kuwahshambulia huoni hizo ni hasira za haraka na hovyo hovyo
Sio hasira, sheria ya Musa haikuruhusu kufanya biashara patakatifu pa Hekalu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…