Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Madogo wa hii nchi mme oza akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi na kwa wadada kuna madhara yoyote? Naona comments za kuhusu ejaculation tu🤗
😎 No comment 🏃Dah sijaelewa hayo matango vipi? Moh Lukwaro
Kuna msemo unasema "starehe ya masikini Ni ngono" Tajiri mda mwingi Yuko bize as businessman.Hii sio kweli kabisa, kuna watu wengi tu hukaa miezi bila sex tena bila shida yoyote
Jaribu kwenda ukalime mpunga huko uone kama utaikumbuka hiyo sex
Tatizo la baadhi ya vijana ni kushinda kutwa kucha kuwazia sex wanafikiri hayo ndio maisha....
Wanafanya sana ndiyo maana akili zinawapelekea kuuza bandari ili wastarehe vizuriSayansi ya wapi hiyo? Mtu Mweusi tabu sana! Akina na Issac Newton walikuwa hawafanyi ngono kwa wingi kama sisi wabongo na ndo waligundua principle za vitu kibao! Wabongo wapenda ngono wanauza bandari kwa mkataba kama wa Mangungo! Hapo nani mdumavu wa akili?
Kuna ukweli , ila kwa wale ambao wameshaanza, sasa mke na Mme muwe mnatazana kama mapazia ya ya ukumbi wa disko unazani ndani kutakuwa na amani kweli? Kama sio kupamiana kama usiku wa giza nene[emoji725]Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu, Hizi hazijathibitishwa na Daktari, It is by experience from wanaojua hilo game, ambazo ni
1. Hasira za Ovyo.
2. Mwili kutokuwa sawa ( Unconfortable).
3.Kucheka cheka.
4. Mawenge mawenge.
5. Hata kudumaa kwa uwezo wa kufikiria.
Hizi ni baadhi tu, Japo sijamaanisha vijana muanze "kutembeza spacles"[emoji724]
Have protective sex , Na tumia kistaarabu , Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya Miaka 18.
Huyo Mzee wa siku mwache kabisa, angetaka vitu vyote vingefanyika, hakuja kwa kazi hiyo!Yesu hakuwahi fanya punyeto na alikuwa sawa.
So it's possible ukawa sawa kabisa. Ni ishu ya mindset.
Sema tu ukweli, kila siku unahahirisha baadaye bby, mara kesho leo nimechoka sana, mara leo mafua, yaani leo mawazo ada za watoto wa dada si unajua Baba yao hajielewi hivi kichwa hakipo sawa tufanye kesho wewe ni mke wangu nipo kila siku, niambie humo ndani mnakuwaje ![emoji1787] Kuna kaukweli flani ndio, tuzingatie protective sex tu! Weekend ndio ishafika
Hakuja kwa kazi hiyo, si unaona hata kuzaliwa kwake hakuguswa na dhambi ya asiliMkuu nimevuta picha jinsi Yesu alivokuwa mpole na hekima
Alafu kumbe hakuwa na tabia tulizo ambiwa na mleta Uzi
Umenifungua akili ndo maana nimecheka saana [emoji23][emoji23]
Mmm kwa mtume Paul nina shaka sana maana kabla yakupewa kabali na YESU alikuwa hatari sana, japo mwishoni alisema kama unaweza kuwa kama mimi, kama hutaki hayo jikane, lakini kama upo humu humu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yesu hakuwahi kusex, mtume Paul pia hakuwahi kusex, Yohana mbatizaji, bila kumsahau nabii Eliya, na wengineo wengi tu na hawakuwa na hizo hali ulizo orothesha.
Unapata wapi ujasiri wa kuleta huo uongo hapa?
[emoji3][emoji3][emoji3] huyu huyu au kuna mwingine.Prophet Malisa
Ndiyo utavurugika kweliSex inapunguza uwezo wa kufikiri,watu wote wenye akili sex ilikuwa sio kipaumbele na walikufa bila wake wala watoto.
Hivi wanawake wasivyo na akili hivyo wakianza kukuvuruga utaanzaje kufikiri?
Huyo huyo 😂[emoji3][emoji3][emoji3] huyu huyu au kuna mwingine.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Nazani huyu anasemea ambao wapo pamoja au ndoa halafu wanapishana kama vile wapo kwenye train sogea tukae a.k kajamba nani.Hii sio kweli kabisa, kuna watu wengi tu hukaa miezi bila sex tena bila shida yoyote
Jaribu kwenda ukalime mpunga huko uone kama utaikumbuka hiyo sex
Tatizo la baadhi ya vijana ni kushinda kutwa kucha kuwazia sex wanafikiri hayo ndio maisha....
once you go raw, you can't go back😋Nakazia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] kuna mfuasi wake humu atakuja nimemsahau jina ha ha ha ha mie sijawahi muona ha ha haHuyo huyo [emoji23]
Daah braza unataka kujifananisha na mitume aisee watu wameshushwa kuikomboa Dunia harafu unatolea mifano yao daah...Hakuna ukweli hapo .
Sex Iko overrated sana.
Mbona Yesu kaishi 33 years bila sex na hakuwa na hasira za hovyo, Wala kuchekacheka na uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa kushinda wa MAFARISAYO wasomi.
Acha shaka, mtume paulo alikuwa mtu wa sala ndefu na mafundisho, hawakuwa na muda wa kufukuzia mademu kabisa na ndo maana alibaki single maisha yake yote.Mmm kwa mtume Paul nina shaka sana
Hebu na aje tumsikie 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] kuna mfuasi wake humu atakuja nimemsahau jina ha ha ha ha mie sijawahi muona ha ha ha
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app