Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Hebu na aje tumsikie [emoji23][emoji23]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Hebu na aje tumsikie [emoji23][emoji23]
Kabla ya kukutana na kibano cha YESU [emoji3], unajua ukijikana mbona mambo safi tu wala hakuna shaka.Acha shaka, mtume paulo alikuwa mtu wa sala ndefu na mafundisho, hawakuwa na muda wa kufukuzia mademu kabisa na ndo maana alibaki single maisha yake yote.
Hata kabla hajakutana na hicho kibano, Saul alikuwa mfuasi nguli wa dhehebu la Mafarisayo washika Torati walioshinda hekaluni wakichimba sheria.Kabla ya kukutana na kibano cha YESU![]()
Ha ha ha alikulia kwa bibi yake àlikuja kuharibika kipindi cha mihemko ya ujana[emoji23]Hata kabla hajakutana na hicho kibano, Saul alikuwa mfuasi nguli wa dhehebu la Mafarisayo washika Torati walioshinda hekaluni wakichimba sheria.
Mambo ya kufukuzia mademu ilikuwa ni haramu kwake.
Ngoma ngumu sana. Kwahio hatimizi majukumu yake tumsaidieSema tu ukweli, kila siku unahahirisha baadaye bby, mara kesho leo nimechoka sana, mara leo mafua, yaani leo mawazo ada za watoto wa dada si unajua Baba yao hajielewi hivi kichwa hakipo sawa tufanye kesho wewe ni mke wangu nipo kila siku, niambie humo ndani mnakuwaje !
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Ila alikuwa binadamu kama sisi, alikunywa , alikula na alilala.Huyo Mzee wa siku mwache kabisa, angetaka vitu vyote vingefanyika, hakuja kwa kazi hiyo!
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Huo upumbavu yani. Hio inakuwa ndoa ya mfumo gani?Kuna ukweli , ila kwa wale ambao wameshaanza, sasa mke na Mme muwe mnatazana kama mapazia ya ya ukumbi wa disko unazani ndani kutakuwa na amani kweli? Kama sio kupamiana kama usiku wa giza nene
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha nimewaza kwa sauti hao ndiyo wagonjwa anaowasema mleta uzi [emoji3]Hio ni
Ngoma ngumu sana. Kwahio hatimizi majukumu yake tumsaidie
Ila si walikuwa binadamu kama sisi?Daah braza unataka kujifananisha na mitume aisee watu wameshushwa kuikomboa Dunia harafu unatolea mifano yao daah...
Mfumo juha tuiteHuo upumbavu yani. Hio inakuwa ndoa ya mfumo gani?
Mleta uzi ni bwege mmojaHa ha ha ha nimewaza kwa sauti hao ndiyo wagonjwa anaowasema mleta uzi [emoji3]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Rudi huku mkuu, why umetuma kitu usichokua na comment nacho😁😎 No comment 🏃
Rudi huku mkuu, why umetuma kitu usichokua na comment nacho😁
Ndiyo maana anaitwa Mungu kweli na mtu kweli.Ila alikuwa binadamu kama sisi, alikunywa , alikula na alilala.
Ha ha ha ha sijui bado kama anapatikana sasahiviMleta uzi ni bwege mmoja
Umebahatisha ya no .1🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu, Hizi hazijathibitishwa na Daktari, It is by experience from wanaojua hilo game, ambazo ni
1. Hasira za Ovyo.
2. Mwili kutokuwa sawa ( Unconfortable).
3.Kucheka cheka.
4. Mawenge mawenge.
5. Hata kudumaa kwa uwezo wa kufikiria.
Hizi ni baadhi tu, Japo sijamaanisha vijana muanze "kutembeza spacles"🚫
Have protective sex , Na tumia kistaarabu , Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya Miaka 18.
Una-sex na nani ndio issue.Hata hiyo sex yenyewe must be moderate.Halafu ni emphasize kwamba sex sio lazima.Infact yanayozungumziwa about sex ni harakati tu za Shetani za kuwafanya watu wazini.🔞Zipo hasara za kutokufanya sex kwa mda mrefu, Hizi hazijathibitishwa na Daktari, It is by experience from wanaojua hilo game, ambazo ni
1. Hasira za Ovyo.
2. Mwili kutokuwa sawa ( Unconfortable).
3.Kucheka cheka.
4. Mawenge mawenge.
5. Hata kudumaa kwa uwezo wa kufikiria.
Hizi ni baadhi tu, Japo sijamaanisha vijana muanze "kutembeza spacles"🚫
Have protective sex , Na tumia kistaarabu , Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya Miaka 18.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna ukweli hapo .
Sex Iko overrated sana.
Mbona Yesu kaishi 33 years bila sex na hakuwa na hasira za hovyo, Wala kuchekacheka na uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa kushinda wa MAFARISAYO wasomi.