kapyoko
JF-Expert Member
- May 10, 2022
- 1,365
- 2,134
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hakuna ukweli hapo .
Sex Iko overrated sana.
Mbona Yesu kaishi 33 years bila sex na hakuwa na hasira za hovyo, Wala kuchekacheka na uwezo wake wa akili ulikuwa mkubwa kushinda wa MAFARISAYO wasomi.