kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadamu wote hawafanani tabia wapo single mama wanaojitambua na hawafanyi huo upuuzi na Wana mipaka juu ya maisha yaoWewe mtazamo wako ni upi.
Mimba siyo mzigo/furushi mpaka binti abebeshwe. Alipokuwa anangonoka alijua kabisa moja ya matokeo ni kubeba ujauzito (siyo kubebeshwa)Kama ana chini ya miaka 22...
Kama ana mtoto mmoja...
Kama hajawahi kuolewa au kuishi na mwanaume...
Kama huyo mtoto alikataliwa na baba yake, na atabeba ubin wako mwanaume..
Kama baba mtoto amekufa...
Mwisho kama ana u-african-wife-material...
Basi huyu single maza anahitaji kupewa nafasi ya 2..
Kwa dunia ya sasa mambo yalivyo, mabinti kubebeshwa mimba na kukimbiwa imekuwa new norm...
Kama umemuassess na ukaona ana tabia njema, basi oa...
................................................................................
Ila unakuta single maza amezalishwa na miaka 25 na kuendelea! Huyo alikuwa anajua anachokifanya. Mwanaume kimbia.
Acha upumbavu kutetea ujinga kwanza mwanamke aliyefiwa anaitwa mjane,Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
Siku hz kipimo na uanaume ni kuoa single mothers?Nyuzi kama hizi zinakupa taswira kwamba wanaume siku hz ni tia maji tia maji tu. Kama huwezi kuishi na single maza hata ukimpata asiye na mtoto bado hitoweza kuishi nae.
Mwanamke
1. Bila kujali kama single mother ni ndugu yangu au laah, hapaswi kuolewa kama mke wa kwanza. Toka enzi na enzi single mother walikuwa wanaolewa kama mke wa pili na zaidi ila siyo kama mke wa kwanza. Kaa na wazee watakuambia sababu za wao kufanya hivyo
2. Mwanaume ama mwanamke kuoa/kuolewa kwenye ndoa yenye migogoro hilo ni kosa lake ama ndugu zake kwenye maamuzi na machaguo yao. Walikuwa na nafasi ya kuoa/ kuolewa na watu wema ila wakachagua kuoa migogoro, hivyo waacha wavune walichokupanda. Ukijidai kiwasaidia ujue umekuwa sehemu ya mgogoro. Na ukiamua kuwa sehemu ya mgogoro uache kulialia
3. Kila siku tunashuhudia matatizo wanayokumbana nayo wasichana waliozalishwa kwenye umri mdogo, lakini bado wasichana hawalichukui hilo kama funzo na onyo nao wanaingia kule kule. Hivyo hilo ni chaguo lao, kabla hawajachagua hilo waliyajua madhara yake, hivyo waacha wavune walichokipand
Kwahiyo Mimi mpumbavu,sema kweli mwanakwetuAcha upumbavu kutetea ujinga kwanza mwanamke aliyefiwa anaitwa mjane,
Acha kabisa kuwatetea hawa single mother wanaoendekeza umalaya mjini,
Ukidili na single mother hata akikuzali mtoto jua tu uzee wako utakuwa wa mashaka sana!
Ukishona una dalili za kumuona single mother ni wife matirio jua unakiwango kikubwa sana Cha upumbavu, alaf yeye anakuona bonge la fala mjanja Ni aliyemzalisha tu!Kwahiyo Mimi mpumbavu,sema kweli mwanakwetu
Huko nje wanaolewa mpaka wacheza picha chafu zile za ngono. Yaaani mpambanaji kapambana, katengeneza ukwasi kataka kuoa akamkumbuka mwanamke aliyekuwa anajichua kupitia video zake anamtafuta anaweka ndani.Siku hz kipimo na uanaume ni kuoa single mothers?
Ilianza kuoa bila bikira siyo shida
Ikaja kuoa aliyeachika siyo shida
Ikaja kuoa mwenye mtoto mmoja siyo shida
Juzi hapa watu walikuwa wanamsifia misa kuolewa akiwa na watoto wawili (inawahalalishia mabinti wazae tu)
Haya mkuu Mungu akubariki uzidi kuwa mjanjaUkishona una dalili za kumuona single mother ni wife matirio jua unakiwango kikubwa sana Cha upumbavu, alaf yeye anakuona bonge la fala mjanja Ni aliyemzalisha tu!
Misa alipotoka kwa majizo na kwenda kwa mondi alikuwa amejifunza makosa yake?Faida ya kuoa singo maza ni sure bet katika kupata watoto (uzao wako) imagine wewe ni MKRISTO na unaoa mwanamke TASA...na ndoa haivunjiki mpaka kifo kiwatenganishe...!! Utajiona boya kiasi gani?
Pia singo maza anakuja kwako akiwa kashajifunza makosa yake yaliyopita hivyo hawezi yarudia tena kwako.
Pia unapata mwanamke ambaye kashapevuka kiakili anajua nini maisha
Kwa hiyo mkeo akimtaka Aziz Ki, kunamfanya Aziz awe mjanja, kunamfanya asiwe SimpHaya mambo si ya kuyachukulia serious sana utapata tatizo la saikolojia.
Uhalisia ni kuwa, Aziz K pamoja na wanaume wengi humu kumuona boya sijui simp, ila wake au wapenzi wao wakitakwa na Aziz wanatanua miguu na kuirudishia ikichomoka.
Kama mnataka kujihakikishia usalama wa vizazi vyenu kuna vipimo hospitali. Kutumia kipimo cha usingle mother kama uhakika wa kizazi kuna hasara pia kwa sababu inawezekana baada ya kuzaa aliaribu kizazi kwa kutumia njia hatarishi za uzazi wa mpango mfano kumeza p-2 bila kufuata muongozo wa daktariFaida ya kuoa singo maza ni sure bet katika kupata watoto (uzao wako) imagine wewe ni MKRISTO na unaoa mwanamke TASA...na ndoa haivunjiki mpaka kifo kiwatenganishe...!! Utajiona boya kiasi gani?
Usingle mother sio kiashiria cha kupevuka kiakili bali ni kiashiria cha umalaya, uwezo mdogo wa kuepuka vishawishi na ufanyaji wa maamuzi mabovu. Mwanamke hahitaji kuwa single mother kwanza ndio apevuke kiakiliPia singo maza anakuja kwako akiwa kashajifunza makosa yake yaliyopita hivyo hawezi yarudia tena kwako.
Pia unapata mwanamke ambaye kashapevuka kiakili anajua nini maisha