Hasara za kuwa baba wa kambo

Hasara za kuwa baba wa kambo

Wanadamu wote hawafanani tabia wapo single mama wanaojitambua na hawafanyi huo upuuzi na Wana mipaka juu ya maisha yao
Kwa ujumla usingle mother ni red flag, kwa mwanaume makini lazima utakua na maswali mengi ya kuhoji, sasa kuliko kujipa kazi ya kutafakari kwanini ua
usichague tu mwanamke ambae hana iyo changamoto ya usingle mother. Mustakabali wa mahusiano na ndoa ni fumbp lakini iyo sio sababu ya wewe kufanya gamble kwenye red flag
 
Yaani mkuu wewe wa kuandika uzi badala ya kutumia Raisi ukaamua kutumia mkuu wa nchi. Halafu badala ya kuzungumzia uongozi wa mkuu wa nchi, ukaamua kutumia shulba wanazokutana nazo wananchi.

Kwa taarifa yako Wahusika wamegundua.

Hii si tabia njema.
😀😀😀😀 lazima tuje kwa style tofauti ukija na style ile ile ya siku zote unashangaa uzi wako umeunganishwa kwenye uzi mwingine
 
Kwa hiyo mkeo akimtaka Aziz Ki, kunamfanya Aziz awe mjanja, kunamfanya asiwe Simp
Yaani mabinti vigoro na walimbwende waliojaa kuanzia nchini kwao mpaka Tz hajawaona kamuona mtu aliyezalishwa x2?

Amekweli chombo inaenda mrama
Ni hivi, akili ya mwanamke haifanyi kazi kama tunavyoaminishana humu ndo maana nasema siyo mambo ya kuyachukulia serious sana.

Wewe uliye mjanja na Aziz aliye Simp, boya n.k tukiwapa chalange ya kupewa ngono na wake zenu, pengine Aziz akajilia wako mapema na wewe ukafeli.

La msingi Furahia maisha kwa namna yako, achana na furaha au huzuni za wengine.
 
Mimba siyo mzigo/furushi mpaka binti abebeshwe. Alipokuwa anangonoka alijua kabisa moja ya matokeo ni kubeba ujauzito (siyo kubebeshwa)

Kama alichagua kungonoka kabla ya ndoa alitegemea nn?

Na kama alichagua mwanaume amabaye hayuko tayari kuwa mume na baba alitegemea nn?

Mbona mnawafanya wanawake wawe wahanga wakati wanayoyafanya wanayajua matokeo yake
Tumewafanya wanawake kuwa wahanga na kuwajengea picha kwamba ni watoto ambao hawajui wanachokifanya matokeo yake mambo yale yale yanajirudia kwa sababu wanajua mambo yakiaribika hawatawajibishwa.
 
Siku hz kipimo na uanaume ni kuoa single mothers?
Ilianza kuoa bila bikira siyo shida
Ikaja kuoa aliyeachika siyo shida
Ikaja kuoa mwenye mtoto mmoja siyo shida
Juzi hapa watu walikuwa wanamsifia misa kuolewa akiwa na watoto wawili (inawahalalishia mabinti wazae tu)
Muda sio mrefu kuoa mwanamke asiekua na malinda tutaambiwa ndio u-gentleman
 
Tumewafanya wanawake kuwa wahanga na kuwajengea picha kwamba ni watoto ambao hawajui wanachokifanya matokeo yake mambo yale yale yanajirudia kwa sababu wanajua mambo yakiaribika hawatawajibishwa.
Nyakati zimebadilika, Hapo nyuma enzi za mababu kwenye vijiji binti akipata ujauzito ataeleza kaupataje pataje na mhusika ataitwa na watajieleza wamepeana mimba bila ndoa kwa sababu gani. Ilikuwa ni aibu na binti akikaa vibaya hata mama yake anamgeuka.

Palikuwa na woga wa mambo ya kienyeji, wazee wakikuita ukaulizwa hii mimba ni yako au tufanye yetu? Kama ni yako kwa woga unakubali na unaozeshwa hapo hapo.

Siku hizi wanaishi pamoja kama mbwa tu na kumezeshana map2.
 
Inasikitisha sana
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Inasikitisha sana
Mkuu, sikuhizi
1.Ngono ni kipaumbele,
2.Fedha ni kipaumbele.

Katika mazingira haya malaya wana nafasi pengine kuliko hata bikra unazozisema.

Waliooa wanawake decent nao hawaachi kuhangaika na michepuko ambao pia ni hao hao single mother na pengine wanawatunza kuliko wake zao.

Inamaana, usingle mother unalipa mno mjini.
 
either way ku-settle na single mother risk inakua kubwa zaidi
 
Siku hz kipimo na uanaume ni kuoa single mothers?
Ilianza kuoa bila bikira siyo shida
Ikaja kuoa aliyeachika siyo shida
Ikaja kuoa mwenye mtoto mmoja siyo shida
Juzi hapa watu walikuwa wanamsifia misa kuolewa akiwa na watoto wawili (inawahalalishia mabinti wazae tu)
Kwan kuzaa ni dhambi?
 
Kwa ujumla usingle mother ni red flag, kwa mwanaume makini lazima utakua na maswali mengi ya kuhoji, sasa kuliko kujipa kazi ya kutafakari kwanini ua
usichague tu mwanamke ambae hana iyo changamoto ya usingle mother. Mustakabali wa mahusiano na ndoa ni fumbp lakini iyo sio sababu ya wewe kufanya gamble kwenye red flag
True wakati matunda fresh yamejaa
 
Umenikumbusha yule bilionea wa kidutch Tob Cohen ambaye aliuawa na mkewe mkikuyu aliyemkuta ni single mother akamudopt na mwanaye mwisho wote wakaja mbeba ufala.
Sema pesa ni kila kitu. Yani toka 2019 mpaka leo japo ushahidi wote uko wazi wazi Bi WAirimu Cohen hajafungwa japo kesi yake ilifutwa, nashangaa mwezi uliopita alikamatwa tena akafunguliwa mashtaka upya.
Rushwa hupofusha macho.

Hata hapa Tz yapo sana hayo kwa kesi kubwa na mbaya kusikia eti DPP hana nia ya kuendelea na kesi hiyo!

Huyo mwanamke alimhonga Jaji aliyekuwa akisikiliza kesi yake, jambo hilo liligundulika na Jaji akaswendemwa ndani na kufunguliwa mashitaka, sijui kesi yake iliishia wapi.

Akaja akahongwa Dpp akafuta kesi.

Huyo Dpp hayupo tena, sasa huyu aliyepo kaifufua upya kwa madai kwamba kuna ushahidi mkubwa kwa Wairimu kuweza kutiwa hatiani kwa mauwaji ya mumewe.

Tuone kama haki itatendeka, ama naye Dpp wa sasa anataka tu mutukula.
 
Narudia tena. HAPA CHOMBO IMESHAENDA MRAMA a.ka HALI JOJO akili yako yote imelalia kwenye kupata ngono.
Kwa hapa bongo kati ya Ki na majizzo nani mwenye access kubwa ya ngono? Kati ya Ki na
Mondi nani mwenye access kubwa ya ngono? Kwann hao watu wameupiga chini huo mzigo?
Ni hivi, akili ya mwanamke haifanyi kazi kama tunavyoaminishana humu ndo maana nasema siyo mambo ya kuyachukulia serious sana.

Wewe uliye mjanja na Aziz aliye Simp, boya n.k tukiwapa chalange ya kupewa ngono na wake zenu, pengine Aziz akajilia wako mapema na wewe ukafeli.

La msingi Furahia maisha kwa namna yako, achana na furaha au huzuni za wengine.
 
Rushwa hupofusha macho.

Hata hapa Tz yapo sana hayo kwa kesi kubwa na mbaya kusikia eti DPP hana nia ya kuendelea na kesi hiyo!

Huyo mwanamke alimhonga Jaji aliyekuwa akisikiliza kesi yake, jambo hilo liligundulika na Jaji akaswendemwa ndani na kufunguliwa mashitaka, sijui kesi yake iliishia wapi.

Akaja akahongwa Dpp akafuta kesi.

Huyo Dpp hayupo tena, sasa huyu aliyepo kaifufua upya kwa madai kwamba kuna ushahidi mkubwa kwa Wairimu kuweza kutiwa hatiani kwa mauwaji ya mumewe.

Tuone kama haki itatendeka, ama naye Dpp wa sasa anataka tu mutukula.
Huyo judge mbona nimesikia kwa sasa ni mojawapo wa majudge wa mahakama kuu. Hakumhonga tu ila walikuwa wapenzi na alikuwa mwanasheria wa kampuni akahamisha hisa 1 ya partner wa cohen kwake mwenyewe baada ya partner kufa kisha baadaye hiyo hisa akaihamishia kwa mke wa cohen. Jamaa alikuwa anataka wachukulia hatua kabla hawajamuua
 
Mkuu, sikuhizi
1.Ngono ni kipaumbele,
2.Fedha ni kipaumbele.

Katika mazingira haya malaya wana nafasi pengine kuliko hata bikra unazozisema.

Waliooa wanawake decent nao hawaachi kuhangaika na michepuko ambao pia ni hao hao single mother na pengine wanawatunza kuliko wake zao.

Inamaana, usingle mother unalipa mno mjini.
Mkuu, huishagi kunisimanga yaani😢
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Narudia tena. HAPA CHOMBO IMESHAENDA MRAMA a.ka HALI JOJO akili yako yote imelalia kwenye kupata ngono.
Kwa hapa bongo kati ya Ki na majizzo nani mwenye access kubwa ya ngono? Kati ya Ki na
Mondi nani mwenye access kubwa ya ngono? Kwann hao watu wameupiga chini huo mzigo?
Unadhani kuna kinachotakiwa zaidi ya ngono boss? Angetaka malezi angeenda kwa watawa.
 
Back
Top Bottom