Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Huna ela usisingizie ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nimekusoma mkuuiMimi sijasema ndo maana yakee nimetolea mfano wa baadhi ya tabia ambazo wanazo hao watu
Kweli kabisa mkuu...ile hali ya kutopenda kujikombakomba kwa watu imenikosesha madili mengi sana mkuu.Hasara kubwa wanayopataga ni kukosa opportunities mbali mbali kama Job promotion/opportunity, kukosa wenzi sahihi, kukosa connection mbali mbali N.K.
Kwaiyo mkuu unataka kusema hawa Wadada wetu wa kazi anataka awe anafanya kazi kwa makelele makelele😂🤣🤦🤪Hasara niliyoipata ni dada wa kazi kuondoka kisa eti simpigii kelele muda wote nipo kimya
Sio kweliHasara kubwa wanayopataga ni kukosa opportunities mbali mbali kama Job promotion/opportunity, kukosa wenzi sahihi, kukosa connection mbali mbali N.K.
Kuchoka kuwa introvert ni Sawa na kuuchoka uasilia wako,unaweza jaribu kujibadili ila mwisho wa siku unajikuta peke yako pasipo kupenda
Me mpaka Leo zaidi ya mika 24 cjawai kuwa na mpenzi/demu nikijaribu kutafuta mpenzi kunamaswali huwa najiuliza na kujijibu mwisho Siku zinaenda hvhv
Yalinikutaga haya ilibidi msaidizi atoke mbali sana kuja kuniokoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabia ya kupenda kukaa peke yangu bila kuwa na mazoea sana na washakaji ama majirani, kuna siku niliumwa wakuu nikakaa ndani siku nzima nakunywa maji tu hakuna anayejua kama naumwa.
Homa ilinikamata vibaya nje sionekani washakaji na majirani wakajua ndio kawaida yangu kuwa ndani kumbe mwenzao maji ya shingo, niko mbali na familia, wife hayupo.
Nikapiga simu kwa wife, wife akasema huyu jamaa atakufa kwa sababu ananijua sina kampani, wife akasafiri kesho yake akaja ndio ikawa afadhali yangu maana ugonjwa ukiwa peke yako unazidi.
Nikasema nikipona mimi jamani ntatafuta washkaji wa kutembeleana ili nikipata matatizo nisaidiwe, baada ya wiki kupona ndio kwanza nikazidi kujichimbia ndani na vitabu vyangu uchwara[emoji3][emoji3][emoji3]
Nashauri wakuu tujitahidini kuwa na watu wa karibu washkaji ama majirani, mimi imenishinda kidogo.
HapanaIntrovert nikukosa relationship with any girl nijuavyo mm je ww?
Haha eti vitabu uchwara
Mimi nauliza kama mtu anaweza kuondoka kwenye hili kundi la introvert maana mimi imenishinda kwa kweli
Aya nijuze mkuu nilipokosea nijilekebisheHapana