Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons

Mhhh sasa anakwenda wapi hebu wataalamu wa huo mchezo tuelezeni na kwanini ameshindwa?kwanini kiwango chake kishuke?hebu tuelezwe mtanzania mwenzetu nini kimemsibu.
 
Too bad. Lakini wataalamu wa nba na wa huku nyumbani wanasema alibweteka. Wenzake wakiwa wakipiga tizi wakiwa free yeye ndo anakuja bongo anafanya anasa. Kimechangia pia
 
hiyo bahati aliyopata haitumi ipasavyo.....ila ukweli hana...talent ya kuzaliwa tz kulikuwa na watu wana vipaji vikali vya kikapu lakini walishindwa onekana hadi kupelekwa huko nba...mpaka leo vipaji vimepotea kabisa
 
hiyo bahati aliyopata haitumi ipasavyo.....ila ukweli hana...talent ya kuzaliwa tz kulikuwa na watu wana vipaji vikali vya kikapu lakini walishindwa onekana hadi kupelekwa huko nba...mpaka leo vipaji vimepotea kabisa
Mkuu vipaji huwa havijifichi,huyu jamaa kuna sehemu tu hapa katikati atakua ali messup,unavyosema jamaa alipata bahati umakose kwani nba sio kama footbal kua mascout wakilizika na kiwango chako basi dirisha la usajili likifka unasajiliwa haijalishi unatokea wapi,kwa nba ni razima uwe unasoma chuo huko wanafanya drafting then mnachaguliwa,nadhani hizi process hasheem alizipitia zote,so hakuna cha bahati hapo.watanzania tujifunze kukubali watu kwa mazingira ya hapa home hasa kwa mtu kama ambaye anatoka kwenye middle class family haikua rahis kwake kutoboa mpka kikidunda nba,inawezekana ikapita miaka mingine 50 ya uhuru kumpata mtanzania mwngne atakae kidunda nba..the guy dd a great job mambo yenyew ni ya kizalizali tu hakuna aliye kua anategea.inatosha rudi om upumzke,u made us proud and u made our country famous in the world of basketbal.
 
Aliyekuwa mchezaji wa basketball kutoka nchini mwetu Hasheem Thabeet atemwa rasmi katika ligi ya NBA.Detoit Pistons imemuachia baada ya kuona kiwango chake sio cha level ya NBA.Sasa itabidi akatafute team Europe au arudi bongo kufundisha watoto wetu jinsi ya kucheza kikapu.

Detroit Pistons Release Hasheem Thabeet
 
Yani jamaa ni ngekewa tu kaipata hata Dullah hamfikii ingawaje ndio hakupata exposure kama yake
 
Timu ya Detroit Pistons iliyokuwa imemchukua Hasheem Thabeet baada ya kuachwa na timu ya Philadelphia 76ers imemuacha pamoja na wachezaji wengine watatu.
Kwa mwendo huu, Je! inaweza kuwa mwisho wa Hasheem Thabeet katika ligi ya NBA?
 
Yani jamaa ni ngekewa tu kaipata hata Dullah hamfikii ingawaje ndio hakupata exposure kama yake

aliridhika mapema hakywa anajituma.....wangepata deal hizo wakina dulah wangetisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…