Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
hakuna kitu naichukia kama hiyo...mijitu unakuta imekulia pandagichiza ikija mjini inabadili na lafudhiArudi bongo na kibess chake anachoonea kiswahili kwa lafudhi ya kimarekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna kitu naichukia kama hiyo...mijitu unakuta imekulia pandagichiza ikija mjini inabadili na lafudhiArudi bongo na kibess chake anachoonea kiswahili kwa lafudhi ya kimarekani
Arudi bongo na kibess chake anachoonea kiswahili kwa lafudhi ya kimarekani
Too bad.
Mkuu vipaji huwa havijifichi,huyu jamaa kuna sehemu tu hapa katikati atakua ali messup,unavyosema jamaa alipata bahati umakose kwani nba sio kama footbal kua mascout wakilizika na kiwango chako basi dirisha la usajili likifka unasajiliwa haijalishi unatokea wapi,kwa nba ni razima uwe unasoma chuo huko wanafanya drafting then mnachaguliwa,nadhani hizi process hasheem alizipitia zote,so hakuna cha bahati hapo.watanzania tujifunze kukubali watu kwa mazingira ya hapa home hasa kwa mtu kama ambaye anatoka kwenye middle class family haikua rahis kwake kutoboa mpka kikidunda nba,inawezekana ikapita miaka mingine 50 ya uhuru kumpata mtanzania mwngne atakae kidunda nba..the guy dd a great job mambo yenyew ni ya kizalizali tu hakuna aliye kua anategea.inatosha rudi om upumzke,u made us proud and u made our country famous in the world of basketbal.hiyo bahati aliyopata haitumi ipasavyo.....ila ukweli hana...talent ya kuzaliwa tz kulikuwa na watu wana vipaji vikali vya kikapu lakini walishindwa onekana hadi kupelekwa huko nba...mpaka leo vipaji vimepotea kabisa
How, the guys is useless contrary to how he is perceived in Tazania. Yaani ni bogus kinoma na anatia haibu kumuona akicheza.
Yani jamaa ni ngekewa tu kaipata hata Dullah hamfikii ingawaje ndio hakupata exposure kama yake