Hasheem Thabeet Aondolewa Pistons


ninachosema huyu jamaa alitengenezwa kujua kikapu...labda kutokana na height yake inawezekana jamaa alireach target yake ya kufika chuo hadi nba, lakini ali punguza mazoezi ...either alilewa sifa au laa.lakini bdo ana nafasi ya kurudi akaze buti...aige mfano wa kina dikembe mutombo wameacha legacy kubwa sana
 
That's a shame because the guy had some promise, you don't get drafted second overall behind a player like Blake Griffin and ahead of players like DeMar DeRozan, Jru Holiday, Steph Curry, etc, if you are chump. But unfortunately he didn't fulfil the promise he showed in college. I remember discussing about his performances on here a couple of years ago tukaitwa mahaters. Ajipange upya timu zinatafutaga "big men" all the time maybe he can get a team somewhere where he'll be able to play a role achukue veteran minimum yake atulie zake. Kama vipi atafute opportunities za kibiashara amepata profile ya kutosha kuweza kumboost.
 
How, the guys is useless contrary to how he is perceived in Tazania. Yaani ni bogus kinoma na anatia haibu kumuona akicheza.

Bro nilishawahi kupost humu ndani kuhusu performance za huyu jamaa na jinsi zilivyo chini ya kiwango alichotarajiwa nikaishia kuitwa hater. When all I said was just how he was not performing in accordance with his ability. Yaani it's disappointing kwa sababu I really wanted him to do well, just see how much Mutombo is respected in the league and by his peers or how Ibaka is reppin Congo (although he plays for Spain), that could have been us getting all that positive attention.
 
Hata Michael Jordan aliwahi achwa katika usajili,,inatokea,,akaze tuu home boy.

Mkuu lini hiyo Jordan aliachwa kwenye usajili? Maanake hata ile story ya kuwa haku-make his varsity high school team iko exaggerated, because I think the story was that he didn't make the team when he tried out for it when he was a sophomore.
 
hiyo bahati aliyopata haitumi ipasavyo.....ila ukweli hana...talent ya kuzaliwa tz kulikuwa na watu wana vipaji vikali vya kikapu lakini walishindwa onekana hadi kupelekwa huko nba...mpaka leo vipaji vimepotea kabisa

Talent is kuwa nayo inasaidia ila kusema talent is the be-all and end-all si sahihi. Wachezaji wangapi hawana talent ya kihiivyo lakini wana-apply kiasi walicho nacho na wanafanikiwa kwa kiasi chao. Ila jamaa alikuwa na kiwango kizuri sana tu alivyokuwa college. Kama asingekuwa na talent asingekuwa drafted so high. Kumbuka jamaa was a defensive player of the year in his junior year in college.
 
How, the guys is useless contrary to how he is perceived in Tazania. Yaani ni bogus kinoma na anatia haibu kumuona akicheza.

Wale wale, haters. Tanzania tunamuona jembe, kama nchi yenu hamum-perceive vizuri si kosa lako. Umri bado unamruhusu.
 
Too bad. Lakini wataalamu wa nba na wa huku nyumbani wanasema alibweteka. Wenzake wakiwa wakipiga tizi wakiwa free yeye ndo anakuja bongo anafanya anasa. Kimechangia pia

Mademu, pombe, kujiona, sifa za kijinga kumechangia kuua kipaji chake.
 
Mademu, pombe, kujiona, sifa za kijinga kumechangia kuua kipaji chake.

Mbona sijawahi sikia popote kwenye media wakisema hizo sifa ni za Hasheem?? Nimemuona mara nyingi akija Tz anafundisha madogo jinsi ya kucheza B-ball. Mwenzetu utakuwa unamjua personally. Tupe stori zaidi.
 
Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa imemchukua kutoka Oklahoma City Thunder. Alicheza dakika tano tu katika mchezo mmoja wa pre season na katika mwezi huu amecheza dakika tano tu dhidi ya Washington Wizard huku akikosa jaribio lake moja na kufunga. Pamoja na Hasheem Thabeet wengine waliofungasha virago ni Brian Cook, Lorenzo Brown na Josh Bostic.
 
Wale wale, haters. Tanzania tunamuona jembe, kama nchi yenu hamum-perceive vizuri si kosa lako. Umri bado unamruhusu.

Usitujumuishe kwenye kusifia upumbavu... Jembe labda kwako.. mpumbavu badala ya kupiga zoezi anakuja bongo kushinda na kina jokate... Acheni unafiki watanzania wenzangu penye ubaya tuseme ili mtu ajirekebishe.. Sio kusifia useng**...
 
Statistics zake zinatisha... NI AIBU TUPU.... na yeyote anaye msifia ajichunguze akili... Na watu wanao msifia ndio wanamuharibu Akili Huyo thabeet kwasababu wanamjaza Sifa za kipumbavu na kujiona yupo juu wakati jamaaa anaharibu... Mchaneni Ukweli akaze buti...
 

Hata akitimuliwa ana pesa ya kutosha kumalizia maisha yake yaliosalia hata kama hatapata timu nyingine. Big Up Thabeet, you are the man of this time.
 
Wale wale, haters. Tanzania tunamuona jembe, kama nchi yenu hamum-perceive vizuri si kosa lako. Umri bado unamruhusu.




Mkuu usipende kuchukia ukweli, mbona Hasheem mwenyewe anajijuwa kuwa yuko useless? Si mimi tu mbona hata supporters wa hizo team alizochezea Hasheem wanamlalamikia kijana wenu na kumcheka, ila wewe unakasirika, why? Hasheem amechezea Houston Rockets, Oklahoma Thunder, na pote huku he never had any impact na hakudumu kukaa kwenye hizo timu kutokana na kuwa useless, sasa wewe ni kitu gani unachopinga?
 


Tatizo la wabongo wengi huwa hawapendi ukweli, nashangaa wakati mitandao na magazeti husika ya timu alizochezea Hasheem inapatikana kwa bure ili kila mtu asome. Nilipitia mtandao wa Houston Chronicle kusoma kwa nini Hasheem alikuwa traded kwenda Oklahoma City, mtandao ukasema jamaa alikuwa surplus to requirements na baadhi ya comments za watu zikasema kuwa jamaa is just plainly useless. Haya ni maoni ya wana Houston juu ya Hasheem, mimi nilikuja kukopi haya nikasakamwa. Nina ndugu zangu huko Houston, kipindi Hasheem anachezea ile timu ya huko jamaa zangu wakaniambia jamaa is really patheitc na huwa hapangwi tu kucheza mpaka timu ikiwa imefungwa au inashinda basi yeye Hasheem anakuja kucheza dakika ama sekunde za mwisho ili tu achangamshe damu kwani hana any impact kwenye timu. Ukisema hapa, timu Hasheem inakuja kuongea otherwise na kuita watu haters. Tukubali ukweli jamani. Hivi kwelu utalazimisha Hasheem kuwa mchezaji mzuri wakati kila mtu anajuwa yuko useless? Jiulizeni kwa nini kila timu inamtema baada ya mwaka, je na hizo timu nazo ni haters kumtema Hasheem kila mwaka?
 

Sawa, basi aende akajaribu huko ulaya. Bado umri unamruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…