mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mkuu vipaji huwa havijifichi,huyu jamaa kuna sehemu tu hapa katikati atakua ali messup,unavyosema jamaa alipata bahati umakose kwani nba sio kama footbal kua mascout wakilizika na kiwango chako basi dirisha la usajili likifka unasajiliwa haijalishi unatokea wapi,kwa nba ni razima uwe unasoma chuo huko wanafanya drafting then mnachaguliwa,nadhani hizi process hasheem alizipitia zote,so hakuna cha bahati hapo.watanzania tujifunze kukubali watu kwa mazingira ya hapa home hasa kwa mtu kama ambaye anatoka kwenye middle class family haikua rahis kwake kutoboa mpka kikidunda nba,inawezekana ikapita miaka mingine 50 ya uhuru kumpata mtanzania mwngne atakae kidunda nba..the guy dd a great job mambo yenyew ni ya kizalizali tu hakuna aliye kua anategea.inatosha rudi om upumzke,u made us proud and u made our country famous in the world of basketbal.
ninachosema huyu jamaa alitengenezwa kujua kikapu...labda kutokana na height yake inawezekana jamaa alireach target yake ya kufika chuo hadi nba, lakini ali punguza mazoezi ...either alilewa sifa au laa.lakini bdo ana nafasi ya kurudi akaze buti...aige mfano wa kina dikembe mutombo wameacha legacy kubwa sana