Mpwa it was so unfortunate hao legends walicheza wakati mzee akiwepo....
Jordan was killing players and frachises' dreams,he was burrying them alive.....
Huku East Miller,Ewing,Marlone,etc hata wajitahidi vipi,he was systematically put them in their places for nearly two decades!
At the finals,ni total annihilation!
Me nina Bro wangu alikuwa karibu sana na Hasheem huko Houston..Kijana amekuwa mvivu,kalewa sifa,kalewa 200/=..hana discipline na uuza sura mwingi.hizo ni baadhi ya sababu za kutemwa na Pistons.
Sasa hiyo ni 461 ouf of 500!
by then est conf was a super power....sio siku hizi a 2 to 3 team conference......
Hahahah...hii statement imenifanya nicheke mkuu
Maana pamoja na urefu wake ina maana hawezi kuscore wala kudeal na offensive rebounds
Mkuu mbona wana kibao walikua hata zoezi hawaendi [refer Iverson 'practice' rant]...pia Shaq alikua mvivu sana wa mazoezi [refer his overweight issues] [he would have been the most dominating centre in history and make Wilt and Kareem look like sissies],
Pia Gary Payton late in his career alikua anakacha sana zoezi kipindi P. Riley ni headcoach...wakorofi na wahuni wote akina Shawn Kemp,Dennis Rodman,nk..ila kwenye court walikua wana deliver kisawasawa....
Sasa,kwenda club,na kufanya uhuni sio excuse....the bottomline is,mwana hana ability za kikapu kwenye damu!
Mzee huwezi amini Nate Robinson ana 5ft anachukua rebound mbele ya mwana ana 7ft4"!Maajabu kabisa...
hahah kwakweli hapo wacha ni mtetee...hivi cross over za jamal crawford(2014 6th man of the year) utaanzia wapi kuziepuka...huyu jamaa kwenye soka naweza mfananisha na denilson wa brazil ....yaani asingefanya fanya kitu...Nyingine nilifeel aibu kabisa ni Jamal Crawford ka'shake then akamkata crossover,mshikaji kidogo aanguke maana aliyumba kama anakata kiuno vile,Im sure kuna ankle ilipata tatizo pale....yaani 7ft4',slower and lazy Center unafikia decision ya kumpiga defense super fast and trickiest Shooting Guard Jamal Crawford? Hapo ndio nikawa na wasiwasi na decision making ability na mwanangu hasheem.
East is watered down now beyond kawaida.....it would never happen a below 0.5 team to make Playoffs berth in 90's....but now 0.5 team makes playoff huku East kama una nawa vile,this will never happen in the West....always West will remain stronger.
Kabadili hadi jina
badala ya hashimu thabiti
anajiita HASHEEM THABEET
HUU NI UTUMWA.
KARIBU NYUMBAN SINZA HASHIMU
hahahah...huyu nate huyu alishawahi dunk kwa shaq oneal...haka kajamaa tatizo hakatulii na timu ila kako very talented..cheki alichofanya juzi hapo...amazing buzzer beater...
huyu jamaa kashawablock,shaq,yao ming na hata lebron cheki hapo..
hahah kwakweli hapo wacha ni mtetee...hivi cross over za jamal crawford(2014 6th man of the year) utaanzia wapi kuziepuka...huyu jamaa kwenye soka naweza mfananisha na denilson wa brazil ....yaani asingefanya fanya kitu...
..hilo si tatizo hata olajuwon alibadili toka Akeem mpaka Hakeem
hahahaaa....mwanao Nate Robinson ana natural talent halafu ana 'little man syndrome ,always anataka ku-prove big men wrong...
Ukiwa big man halafu ni slower and lazy,defending super fast Guards and Shooting Guards is a bad idea!!!!Sasa mwanao Hasheem alipick his poison kwa Jamal Crawford!
Yaani imagine Shaq chasing quick dudes like Derick Rose [pre his injury]?
You are correct Tyta...kwa entertainers na athletes,ni best decision kibiashara ku-Americanise your name kama intended majaority of your fans are Americans..
Kwa Hasheem ni sawa tu as his audience are majority Americans...ile ni business move na ni correct literally.
..yaani niliwahurumia SUNS last season PAMOJA NA KUWA ABOVE 0.5 But still never made it....hasa Goran had a very exceptional season...
hahah sijui na meta world naye alikuwa anafikiria nini...na bado ukorofi uliendelea...
....the bottomline is,mwana hana ability za kikapu kwenye damu!
mimi nilikapa heshima kalipo defend slam dunk tittle yake...nikasema this little comrade is no joke...
sometimes NBA is very complicated to define..
ukisema ukisema big men`s game..utaoneshwa mifano ya kina isaiah thomas,steve nash,stckton.iverson,lillard,chris paul nk all made it strongly despite their physic..
.......at least angekuwa na kitu kimoja very strong to bragg about...labda defensively angekuwa a very good shot blocker kama A.davis halafu hata kama in other areas si kivile is okay...sasa daah..nilikuwa namwona kwenye purukushani za kupigana na kukingiana vifua....
West hukatizi kibwege kwenda playoffs...with Suns it was a sad story, Bledsoe (PG) na Goran(C) walipiga jihad ila ndio ivo Mavericks wakalamba 8th seed na 49wins zao