Hasheem Thabeet: From the NBA to the D-League

Hasheem Thabeet: From the NBA to the D-League

hujawahi kumbwa na hii dhahama ya fitina? hasa unapofanya kazi sehemu ambayo ni very competitive kuna kuwa na uhasama mkali na usipokuwa makini kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuspoil ndoto za wenzao. You have to prove it by working hard and ignore maneno ya watu though sometimes hii sumu inaweza kukumaliza kabisa. Ila kusemana makazini na kuharibiana kupo sana ndugu yangu, shukuru kama hujakumbwa na hili janga.

Thabeet piga kazi ili kuwaziba mdomo wanaotaka kukuharibia, ukichemsha watasema tulijua tu, ila ukipanda daraja watakaa kimya na kuugulia maumivu moyoni. Be blessed.

Mkuu hizo sehemu zenye red ndiyo ninazimaanisha hasa,, hata ufanyeje huwezi kuwafanya watu wote wakupende na wakuseme kwa uzuri. Haya mambo nimeshakutana nayo na mtu akiniletea majungu huwa namchinjia baharini, hasa wale wanaokuja na kujifanya kukueleza jinsi watu wanavyokusema ndiyo sumu zaidi.. Huyu Bwana mdogo siyo mara yake ya kwanza anatoa kauli ya kusengenywa, lakini sijaona akiwa-prove wrong wanao msengenya, hilo ndilo limenikera zaidi,, he is too political.. Anaongea tu bila vitendo. Apige kazi aache mipasho, analalamika lalamika kama Demu Bana...
 
Wanamzingua dogo bure, kama hawamtaki kwanini walimnunua??.

Ile hali ya kule Memphis inaeleweka lakini hii ya Rockets mmh!...maana wao walishamuona kule Memphis ndio maana wakamnunua juzi juzi tu.

Kinachotakiwa ni kocha kumuamini na kumpatia game time ya kutosha ili kijana arudishe confidence yake.

Hasheem sio mchezaji mbovu kiasi hicho, tatizo ni kupoteza confidence baada ya kuwa katika benchi mda mrefu...

Nadhani kama wewe ni mpenda michezo utakua unajua naongelea nini. Mifano mizuri ni akina Berbetov, Rooney, na na sasa Torres....😛anda:

BTW: Kama hali ikiendelea hivi ni bora aende zake kwenye timu za Europe....
khe khe kheeeeeeeeee... Torres?
 
Houston Rockets center Hasheem Thabeet was assigned to the Rio Grande Valley Vipers, the Rockets’ NBA Development League affiliate, it was announced today. The assignment marks the 48th time in the 2010-11 season an NBA player has been assigned to an NBA D-League affiliate, and it is the second assignment for Thabeet, a second-year pro out of Connecticut.

HAbari zaidi Kongoli hapo chini

NBA Development League: Rockets Assign Hasheem Thabeet To Rio Grande Valley Vipers
 
Ngombe wa masikini hazai na akizaa jitoto lawa shoga:hatari:
 
Huyo dogo aliambiwa ukweli mwanzo, akadai kuwa watz wanamuombea mabaya, na watz wengi wanataka kutumia mgongo wake kujinufaisha,ujinga ni kitu kibaya sana
 
Huyu kijana anahitaji msaada. Anahitajika kupawa mtu atakayemsukuma na kuwa mshauri wake mkuu. Niliandika siku nyingi kuwa serikali ya JK badala ya kujishaua-shaua tu kwa Thabeet, walitakiwa wamfanye Thabeet kama vile ni maliasili na kumsaidia ku-m-develop talent yake. Walitakiwa wamsaidie ili aweze kung'ara kwenye NBA, kama Yao Ming alivyosaidiwa na nchi yake, na hatimaye kusaidia kuwafungulia milango basketballer wao. Hivi sasa ni vema Hasheem akaendelea kukaa kwenye D-League kwa muda mrefu sana na kuweza kupata muda zaidi wa mach, lakini bila ya kuwa na mshauri wa kumsaidia sidhani kama atapata atakomaa haraka na kurudi NBA.
 
Ngombe wa masikini hazai na akizaa jitoto lawa shoga:hatari:

Give him a break 'shosti'....Hasheem anahitaji muda wa kucheza zaidi ili kupandisha kiwango chake. Ikumbukwe kuwa ameanza kucheza kikapu akiwa na umri mkubwa tayari kwa sababu tu ya urefu, anahitaji muda! He is young, with time...he will be better, and inshallah...may be an MVP!
 
You wish! Huyu Kijana wetu alipoingilia kwenye NBA hakutakiwa kushuka chini ya hapo. Bahati mbaya mambo mengi yakachangia yeye kushuka kiwango ikiwemo ubishoo, wapambe, wadandiaji, kikwete, lunch Ikulu na kadhalika. Wakati wa mapunziko ya NBA wakati wenzake wanajifua yeye akawa anarandaranda mitaa ya Dizim akionyesha Vogue lake! Watu wenye mapenzi ya kweli naye walipojaribu kutoa ushauri hata humu JF wakaishia kuambiwa ni haters. Yes, he is Young but TIME is definitely not on his side! Tumuombee Kijana wetu.

Hapo kwenye red, Hasheem sasa ana miaka 24, sio mdogo especially linapokuja suala la kucheza michezo yenye kutumia nguvu na maarifa mengi kama soka au basketball, hii ndio miaka ya kuattain maximum fitness kwa kuwa mwili ndio unakuwa una nguvu nyingi. Akishafikisha miaka 29 mtasema tayari ashazeeka ! Miaka ya kucheza katika kiwango cha juu kabisa ni kuanzia 23 mpaka 29. Wale wenye discpline na mazoezi wanaweza kwenda mpaka miaka 32. Walio unique na wenye discpline ya ukweli kabisa na pia walio na bahati ya kutopata majeraha ya mara kwa mara ndio unakuta wanaweza kucheza kwa kiwango cha juu beyond miaka 32. Ukicheki kwenye database ya NBA saizi kuna wachezaji 11 tu walio na umri beyond 36 (Including Shaq O Neal), hao pia sio kuwa wanacheza katika kiwango cha juu, wanawekwa tu kwa ajili ya kuwaassist vijana technically ndani na nje ya uwanja.
 
I understand what you're saying, but I think that's a really odd excuse for underperforming.

Also, saying time is on your side when it comes to professional sports is sort of inaccurate. In fact one can argue the exact opposite, that is; due to the come-and-go nature of professional sports and professional athletes, it would serve one best to show great talent and great capabilities at a much younger age as doing so at an older age is incredibly difficult due to degrading athletic performance, unfavorable business conditions, and more.

Again, I believe he has the potential to be a valued player. I think what transpires over the next 8-9 months will give us a clearer picture of what his future with the NBA looks like.
 
You wish! Huyu Kijana wetu alipoingilia kwenye NBA hakutakiwa kushuka chini ya hapo. Bahati mbaya mambo mengi yakachangia yeye kushuka kiwango ikiwemo ubishoo, wapambe, wadandiaji, kikwete, lunch Ikulu na kadhalika. Wakati wa mapunziko ya NBA wakati wenzake wanajifua yeye akawa anarandaranda mitaa ya Dizim akionyesha Vogue lake! Watu wenye mapenzi ya kweli naye walipojaribu kutoa ushauri hata humu JF wakaishia kuambiwa ni haters. Yes, he is Young but TIME is definitely not on his side! Tumuombee Kijana wetu.

let's give him time, he will pick up! All the best Hasheem
 
nilimuona anahojiwa eatv anawakana hata waliomuonyesha njia,..iam sad though sababu the guy alikuwa anaiweka kwenye world map bongo,hopefully atarudi kwenye ligi kubwa soon...ccm bwana mtu akiwa juu wanamfata hadi marekani kupiga naye picha lakini sidhani kama mkwere atamfata usa kumpa ushauri..
 
Those who watched the match Yesterday nadhani watakubaliana na mimi kuwa Hasheem hes still can make it back to the NBA ila nahitaji MWILI, he's tall that's ok ila amepungua sana.., kwa sasa ni mazoezi na msosi,
He had 4 good BS, ila kama angekuwa na mwili zaidi (Kitu ambacho kinawezekana) angefanya vizuri zaidi maana huu mchezo unahitaji nguvu
 
Hapo kwenye red, Hasheem sasa ana miaka 24, sio mdogo especially linapokuja suala la kucheza michezo yenye kutumia nguvu na maarifa mengi kama soka au basketball, hii ndio miaka ya kuattain maximum fitness kwa kuwa mwili ndio unakuwa una nguvu nyingi. Akishafikisha miaka 29 mtasema tayari ashazeeka ! Miaka ya kucheza katika kiwango cha juu kabisa ni kuanzia 23 mpaka 29. Wale wenye discpline na mazoezi wanaweza kwenda mpaka miaka 32. Walio unique na wenye discpline ya ukweli kabisa na pia walio na bahati ya kutopata majeraha ya mara kwa mara ndio unakuta wanaweza kucheza kwa kiwango cha juu beyond miaka 32. Ukicheki kwenye database ya NBA saizi kuna wachezaji 11 tu walio na umri beyond 36 (Including Shaq O Neal), hao pia sio kuwa wanacheza katika kiwango cha juu, wanawekwa tu kwa ajili ya kuwaassist vijana technically ndani na nje ya uwanja.

Huyu DOgo kashusha miaka, hiyo 24 sidhani kaa ni kwlei, huyu kasema ameondoka TZ anamiaka 14 , wakati nilikua namuona naile suruali yake ya Makongo akiwa sekondari, tena form 2, sasa iweje awe 24?,wakati hata hakusoma hizo Akademi amaboz angeanza na maika 4 darasa la kwanza .
 
Back
Top Bottom