TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
hujawahi kumbwa na hii dhahama ya fitina? hasa unapofanya kazi sehemu ambayo ni very competitive kuna kuwa na uhasama mkali na usipokuwa makini kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuspoil ndoto za wenzao. You have to prove it by working hard and ignore maneno ya watu though sometimes hii sumu inaweza kukumaliza kabisa. Ila kusemana makazini na kuharibiana kupo sana ndugu yangu, shukuru kama hujakumbwa na hili janga.
Thabeet piga kazi ili kuwaziba mdomo wanaotaka kukuharibia, ukichemsha watasema tulijua tu, ila ukipanda daraja watakaa kimya na kuugulia maumivu moyoni. Be blessed.
Mkuu hizo sehemu zenye red ndiyo ninazimaanisha hasa,, hata ufanyeje huwezi kuwafanya watu wote wakupende na wakuseme kwa uzuri. Haya mambo nimeshakutana nayo na mtu akiniletea majungu huwa namchinjia baharini, hasa wale wanaokuja na kujifanya kukueleza jinsi watu wanavyokusema ndiyo sumu zaidi.. Huyu Bwana mdogo siyo mara yake ya kwanza anatoa kauli ya kusengenywa, lakini sijaona akiwa-prove wrong wanao msengenya, hilo ndilo limenikera zaidi,, he is too political.. Anaongea tu bila vitendo. Apige kazi aache mipasho, analalamika lalamika kama Demu Bana...