Yah, I know... inavurunda sana kwa miaka kadhaa sasa! Lakini ujinga wa haya mambo, status ya timu inachukua muda kupotea kwahiyo usishangae ukisikia kuna watu kibao bado wana ndoto za kuchezea Lakers!Lakers limebaki jina mkuu, toka mzee mzima afariki, wale watoto wake hawajui nini wanachokifanya hata.
Yah, I know... inavurunda sana kwa miaka kadhaa sasa! Lakini ujinga wa haya mambo, status ya timu inachukua muda kupotea kwahiyo usishangae ukisikia kuna watu kibao bado wana ndoto za kuchezea Lakers!
Teh teh umwambie kabisa awe anaongea vizuri kiswahili...ama la kama kakisahau kiswahili aongee kiingereza tujue mojaHaahaaa... nakusoma vizuri sana na ninajua ungetamani kuona anapata second! Akipata, nitatumia njia yoyote hadi niwasiliane nae ili nimwambie asikuweke kwenye discplining roster ya waibebez wa mjini!!
Dah! Sema penye lugha hapo, Hasheem anajitahidi kuboa bhana; achaaa!!! Ka' "Madam" Wema na viinglishi vyake vya bila kuangalia anaongea na wanani! Siku Wema anatwanga viinglishi hadi kwa akina Bibi Bomba nikajua kweli madam si madam wa mchezo mchezo!!!Teh teh umwambie kabisa awe anaongea vizuri kiswahili...ama la kama kakisahau kiswahili aongee kiingereza tujue moja
Eti" maumbour "ndo kasalimia mambo, jamani Hasheem ana mbwembwe hatwari..
Huyo nae chenga...Wema ana broken ya mwendokasiDah! Sema penye lugha hapo, Hasheem anajitahidi kuboa bhana; achaaa!!! Ka' "Madam" Wema na viinglishi vyake vya bila kuangalia anaongea na wanani! Siku Wema anatwanga viinglishi hadi kwa akina Bibi Bomba nikajua kweli madam si madam wa mchezo mchezo!!!
Acha roho mbaya we weameshindwa kuwatengenezea wabongo wenzake connection akihofu watamzidi, wenzie wanatoka D-League wanaenda NBA yeye ametoka NBA anaenda D-League
kweli hakuna marefu yasiyo na ncha
Unamsema Bibi Bomba yupi witness? Wema alikuwa anapiga viinglishi kwa akina Bibi Bomba wa Clouds, wale wa Babu wa Kitaa... Wema hana huruma kabisa mtoto yule!!!Huyo nae chenga...Wema ana broken ya mwendokasi
Bibi Bomba utani pembeni anatema yai kama kazaliwa Buckingham palace!
Ah ok..... Nilidhani shemela wetu kutoka Uganda kwa Domo!Unamsema Bibi Bomba yupi witness? Wema alikuwa anapiga viinglishi kwa akina Bibi Bomba wa Clouds, wale wa Babu wa Kitaa... Wema hana huruma kabisa mtoto yule!!!
Ah! Kumbe uikuwa unamzungumzia Zari! Tuache Zari aitwe Zarina bhana manake wadada wa mjini anawapa presha ile mbaya! Mdada age imeenda lakini ndo kwanza anazidi kuwa mtamanisho! Na kama nawe ni mmoja wao, basi sina namna zaidi ya kukupa pole manake hamna namna nyingine ya kukufariji! Na hicho Kiinglish sasa...Ah ok..... Nilidhani shemela wetu kutoka Uganda kwa Domo!
Haa haaa wema alipeleka kizungu feki chake kwa bibi bomba wa clouds? Sasa yule anaelewa kweli?
Sema na yy hamna kitu pale anaongeaga viswanglish vyake ili watu wababaike, ila in reality hakuna kitu![emoji125] [emoji125]
Ah wapi mi namkubali Zari coz anajitambuaAh! Kumbe uikuwa unamzungumzia Zari! Tuache Zari aitwe Zarina bhana manake wadada wa mjini anawapa presha ile mbaya! Mdada age imeenda lakini ndo kwanza anazidi kuwa mtamanisho! Na kama nawe ni mmoja wao, basi sina namna zaidi ya kukupa pole manake hamna namna nyingine ya kukufariji! Na hicho Kiinglish sasa...
We witness iko smart sana... unajua kuna baadhi ya watu ukiwachukia inakuwa unajitafutia magonjwa ya moyo tu!! Sema hiyo ya Wema kuomba poo; duh! Nilikuwa sijainyaka hiyo! Yaani kama namuona hivi Wema na kale kasauti kake!!!Ah wapi mi namkubali Zari coz anajitambua
Yaani kati ya watu Zari anawakalisha hadi nawaonea huruma wa kwanza Wema!
Siku anahojiwa eti yuko radhi kupatanishwa na zari, wala hamchukii, team ushuzi ndo wanawagombanisha,nilimuonea huruma! Hadi anaomba poo kwa zari? Kweli Zari kina kirefuu
Haa haa...Zari kiboko ya mademu wa kibongo wasiojielewa!We witness iko smart sana... unajua kuna baadhi ya watu ukiwachukia inakuwa unajitafutia magonjwa ya moyo tu!! Sema hiyo ya Wema kuomba poo; duh! Nilikuwa sijainyaka hiyo! Yaani kama namuona hivi Wema na kale kasauti kake!!!
Na ndio maana mwisho nikatoa ushauri si vibaya akitupa jicho kwenye league zingine... ninachopenda mimi ni determination yake ya kutaka kurudi NBA... hii determination ndiyo itakayomwezesha kuwa bado active na kumwea rahisi hata akitaka kwenda kwenye ligi zingine! But all in all, hakuna kinachoshindikana... ni ngumu kupata second chance lakini wapo wanaopata!
You're right... endapo atapata second chance ingawaje regular season ndo ishafika, I believe atakuwa very committed hivi sasa. Ukifuatilia maelezo ya Frank Matrisciano na mwenzake Milt Newton, unajua kabisa kwamba Hasheem huyu sio yule. Huyu Frank wenyewe wanamuita Hell's Trainer... in 10, wanaomalizaga training zake huwa hawafiki 5 na wengine wote wanaingia mitini! Lakini Hasheem amedumu nae na anakuambia kwa sasa Hasheem isn't only BIG lakini anaweza ku-translate body lake into a game... sio yule Hasheem mzembe mzembe!
View attachment 423793
View attachment 423798
Poa Kiongozi; jamaa yupo... ndo hivyo ana-struggle kurudi!mkuu nashukuru kwa uchambuzi wako huu nlifikiria jamaa ameendaga wapi baada ya ku fail skupata jibu
ameshindwa kuwatengenezea wabongo wenzake connection akihofu watamzidi, wenzie wanatoka D-League wanaenda NBA yeye ametoka NBA anaenda D-League
kweli hakuna marefu yasiyo na ncha
Huyu jamaa ana maringo sana
Siwezi kuombea mtu kama huyo hata siku moja nba lazma atupwe nje no way out!!