Hasheem Thabeet kurudi NBA?

nimependa mtiririko wako kwa sababu inaonekana ni mtu flani ivi mdau wa basket
Ni mdau katika kufuatilia... some few sports and entertainment ndo my top hobbies na ndio maana hili ndo jukwaa langu pendwa pamoja na lile la entertainment.
 
Ni mdau katika kufuatilia... some few sports and entertainment ndo my top hobbies na ndio maana hili ndo jukwaa langu pendwa pamoja na lile la entertainment.
Sasa je?...I told you!
 
Nakuombea heri dogo HASHIMU Iapo wewe umeweka swaga kwenye jina eti HASHEEM[emoji23][emoji23][emoji23] urudi NBA.


Ukomae na utafute usuper star huko huko. Sisi bongo tunafurahi mtu akilost na sio akifanikiwa.

Waprove wrong wote waliokucheka...
 
Umenichoma sana Witness! Unajua sehemu ambazo hata Waamerika wenyewe wanashoboka nazo ni pamoja na NBA & Hollywood! Ni sehemu ngumu kuingia; bora uambiwe ujifunze kuvuka kwa kuogelea toka Kunduchi hadi Posta utafanikiwa kuliko kuchukua option ya kuingia NBA au Hollywood! So, mtu ukipata fursa sehemu hizi mbili, ni life opportunity ambayo hutakiwi kuichezea hata punje.

Lakini unajua nini? Ilikuwa lazima aje awachape bakora bhana... si mlikuwa mnamuita ngongoti nyinyi!!! Mi mwenyewe nilimuona Hasheem kwa mara ya kwanza usiku kwenye duka la nguo, alikuwa kwenye entrance na kulikuwa na mwanga hafifu! Sa kv nilikuwa na haraka zangu, siku-pay attention; nikadhani ni ile midoli! Sasa ghafla, aka-move... e bhana eh! Moyo ukafanya paaa! Mdoli unatembea....
 
atasingizia alikua mdogo eti.
 
Ushawahi muona live?

Si kwa urefu ule asee!...Kidoti ana moyo

Nasikia kitaalamu ana matatizo kuwa na urefu wa hivo nimesahau jina lake kitaalamu

ila kwa wenzetu ulaya unatumia hiyo weakness kama fursa ya kutajirika!
Giantism disorders kama sikosei
 
Ni mdau katika kufuatilia... some few sports and entertainment ndo my top hobbies na ndio maana hili ndo jukwaa langu pendwa pamoja na lile la entertainment.
pamoja mkuu me mdau wa football na hip hop
 
Ni kweli Chige the way ulivyo analyse but, nahisi kilichomkwamisha zaidi ni pale wenzake akina Le bron wanapiga tizi la kufa mtu , yy anawaza atapata chance muda gani aje bongo kutuchapa bakora!

Hizo safari zake huku zimemcost na atakuwa anajuta now

Exactly, hili gym analolifanya saa hizi alitakiwa alifanye mwanzo kabisa akiwa rookie, hasa baada ya kuona hajapewa nafasi Memphis.


Mkuu umejitahidi kum-cover jamaa sana, mimi nakumbuka siku moja gari walilokuwa nalo kina Hasheem liligonga bajaj maeneo ya Sayansi na halikusimama, jamaa wa bajaj alikuja kuwakuta kwenye mataa ya Morocco ndo kupak mbele ya Hasheem, mimi nilikuwa gari la nyuma, kutahamaki yule dogo aliwashwa makofi na Hasheem mwenyewe, sijui hata kesi iliendeleaje maana kulijaa watu fasta sisi tukaondoka.
 

Exactly, na mpaka sasa bado uhakika wa timu hana, kwa sababu timu zote tatu zilizo mcheki haziko interested, ukiisoma article ile vizuri ni kwamba wanamwona kama Hasheem yule yule.

So ana kazi ya kujustify kwamba kweli amebadilika.
 
Umenivunja mbavu mkuu
 
Mkuu huyo jamaa ametrain wangapi ambao sasa wako NBA? Tusije kusifia tu hapa wakati ni Trainer wa kawaida tu..
 
pamoja mkuu me mdau wa football na hip hop
Ni matumaini yangu kwenye football haupo kule ambako sie wengine, tangu tukiwa shule hadi tunazeeka, ni miaka nenda rudi ya maumivu huku tukisubiri msimu wa kuvurunda uwadie!!
 
mbona mtu kama huyo kwa marekani na ulaya ni urefu wa kawaida tuu? mtu kama steve nyerere akienda huko ataitwa andunje wa amerika au aki na popo wa nigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…