witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Mbona unajishtukia? Teh teh..Hapana mkuu; nimedanganya nini?!
Anamaanisha uko deep
Thumb up[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unajishtukia? Teh teh..Hapana mkuu; nimedanganya nini?!
Ni mdau katika kufuatilia... some few sports and entertainment ndo my top hobbies na ndio maana hili ndo jukwaa langu pendwa pamoja na lile la entertainment.nimependa mtiririko wako kwa sababu inaonekana ni mtu flani ivi mdau wa basket
Sasa je?...I told you!Ni mdau katika kufuatilia... some few sports and entertainment ndo my top hobbies na ndio maana hili ndo jukwaa langu pendwa pamoja na lile la entertainment.
Madam my foot!Tena nasikia mnamuita Madam Wema Sepetu!!!
Kama wwWe unataka positive tuu ya nini kwa manufaa ya nani??
Nasema hivi bongo hakuna mtu Mwenye maana wote pumba maandazi tuuu
Eti aligombeaga na viti maalum ubunge???Madam my foot!
Madam halipi hela ya umeme na maji?
Poor Tanzania celebrities...
Umenichoma sana Witness! Unajua sehemu ambazo hata Waamerika wenyewe wanashoboka nazo ni pamoja na NBA & Hollywood! Ni sehemu ngumu kuingia; bora uambiwe ujifunze kuvuka kwa kuogelea toka Kunduchi hadi Posta utafanikiwa kuliko kuchukua option ya kuingia NBA au Hollywood! So, mtu ukipata fursa sehemu hizi mbili, ni life opportunity ambayo hutakiwi kuichezea hata punje.Hata huyo Hasheem alitakiwa awe best kuliko hata hao!
We mungu kakupa bahati ya kuingia NBA, premium league ambazo kina Beyonce na Jigga wanalipia kuja kufurahisha nafsi zao?
Yaani Hasheem alitakiwa mabest zake wawe kina Kobe Bryant, Le Bron, Jordan
Matokeo yake linarudi bongo katikati ya session kuja kupigana mitama na TID like serious?
Muache kwanza mungu amchape kiboko atajifunza!
atasingizia alikua mdogo eti.Hata huyo Hasheem alitakiwa awe best kuliko hata hao!
We mungu kakupa bahati ya kuingia NBA, premium league ambazo kina Beyonce na Jigga wanalipia kuja kufurahisha nafsi zao?
Yaani Hasheem alitakiwa mabest zake wawe kina Kobe Bryant, Le Bron, Jordan
Matokeo yake linarudi bongo katikati ya session kuja kupigana mitama na TID like serious?
Muache kwanza mungu amchape kiboko atajifunza!
Watakusikia wenye madam wao; shauri yako... mi simo!!Madam my foot!
Madam halipi hela ya umeme na maji?
Poor Tanzania celebrities...
Giantism disorders kama sikoseiUshawahi muona live?
Si kwa urefu ule asee!...Kidoti ana moyo
Nasikia kitaalamu ana matatizo kuwa na urefu wa hivo nimesahau jina lake kitaalamu
ila kwa wenzetu ulaya unatumia hiyo weakness kama fursa ya kutajirika!
pamoja mkuu me mdau wa football na hip hopNi mdau katika kufuatilia... some few sports and entertainment ndo my top hobbies na ndio maana hili ndo jukwaa langu pendwa pamoja na lile la entertainment.
Busara ya Kiafrika ni kujishusha...Mbona unajishtukia? Teh teh..
Anamaanisha uko deep
Thumb up[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ni kweli Chige the way ulivyo analyse but, nahisi kilichomkwamisha zaidi ni pale wenzake akina Le bron wanapiga tizi la kufa mtu , yy anawaza atapata chance muda gani aje bongo kutuchapa bakora!
Hizo safari zake huku zimemcost na atakuwa anajuta now
Witness bhana, hizo ni mbwembwe tu za kistaa, zisukupe shida! Majority ya clubbing stars ndo zao hizo... wakifika lazima wahakikishe kila mmoja anafahamu kwamba fulani kafika kwahiyo has nothing to do with Hasheem solely!! Usiniambie hujawahi kugongana na Wema mahali....
kwa ulaya na marekani hiyo siyo gigantisim ni urefu standard tuu wa kawaida. umewahi mtizama undertacker au big show?Giantism disorders kama sikosei
Hahahaa! Kuhusu tizi, hilo ndo kosa kubwa alilofanya... Kwa body la Hasheem, lilitakiwa kupata mikiki mikiki tangia akiwa mdogo ili mwili uzoee!! Sasa kwavile alichelewa kuupa mwili dozi, ni kweli alitakiwa awe extra miles kwa tizi la kufa mtu ukilinganisha na wenzake! Hasheem ana body na ndiyo ilikuwa inampa kiburi akasahau NBA ni zaidi ya body, physique ni muhimu sana kwa sababu players wapo very energetic. Hii training anayoipata sasa wakati keshakuwa mzee alitakiwa kuifanya wakati ule... at least soon baada ya kuvurunda Memphis Grizzlies!
Umenivunja mbavu mkuuUmenichoma sana Witness! Unajua sehemu ambazo hata Waamerika wenyewe wanashoboka nazo ni pamoja na NBA & Hollywood! Ni sehemu ngumu kuingia; bora uambiwe ujifunze kuvuka kwa kuogelea toka Kunduchi hadi Posta utafanikiwa kuliko kuchukua option ya kuingia NBA au Hollywood! So, mtu ukipata fursa sehemu hizi mbili, ni life opportunity ambayo hutakiwi kuichezea hata punje.
Lakini unajua nini? Ilikuwa lazima aje awachape bakora bhana... si mlikuwa mnamuita ngongoti nyinyi!!! Mi mwenyewe nilimuona Hasheem kwa mara ya kwanza usiku kwenye duka la nguo, alikuwa kwenye entrance na kulikuwa na mwanga hafifu! Sa kv nilikuwa na haraka zangu, siku-pay attention; nikadhani ni ile midoli! Sasa ghafla, aka-move... e bhana eh! Moyo ukafanya paaa! Mdoli unatembea....
Mkuu huyo jamaa ametrain wangapi ambao sasa wako NBA? Tusije kusifia tu hapa wakati ni Trainer wa kawaida tu..You're right... endapo atapata second chance ingawaje regular season ndo ishafika, I believe atakuwa very committed hivi sasa. Ukifuatilia maelezo ya Frank Matrisciano na mwenzake Milt Newton, unajua kabisa kwamba Hasheem huyu sio yule. Huyu Frank wenyewe wanamuita Hell's Trainer... in 10, wanaomalizaga training zake huwa hawafiki 5 na wengine wote wanaingia mitini! Lakini Hasheem amedumu nae na anakuambia kwa sasa Hasheem isn't only BIG lakini anaweza ku-translate body lake into a game... sio yule Hasheem mzembe mzembe!
View attachment 423793
View attachment 423798
Ni matumaini yangu kwenye football haupo kule ambako sie wengine, tangu tukiwa shule hadi tunazeeka, ni miaka nenda rudi ya maumivu huku tukisubiri msimu wa kuvurunda uwadie!!pamoja mkuu me mdau wa football na hip hop
mbona mtu kama huyo kwa marekani na ulaya ni urefu wa kawaida tuu? mtu kama steve nyerere akienda huko ataitwa andunje wa amerika au aki na popo wa nigeriaUmenichoma sana Witness! Unajua sehemu ambazo hata Waamerika wenyewe wanashoboka nazo ni pamoja na NBA & Hollywood! Ni sehemu ngumu kuingia; bora uambiwe ujifunze kuvuka kwa kuogelea toka Kunduchi hadi Posta utafanikiwa kuliko kuchukua option ya kuingia NBA au Hollywood! So, mtu ukipata fursa sehemu hizi mbili, ni life opportunity ambayo hutakiwi kuichezea hata punje.
Lakini unajua nini? Ilikuwa lazima aje awachape bakora bhana... si mlikuwa mnamuita ngongoti nyinyi!!! Mi mwenyewe nilimuona Hasheem kwa mara ya kwanza usiku kwenye duka la nguo, alikuwa kwenye entrance na kulikuwa na mwanga hafifu! Sa kv nilikuwa na haraka zangu, siku-pay attention; nikadhani ni ile midoli! Sasa ghafla, aka-move... e bhana eh! Moyo ukafanya paaa! Mdoli unatembea....