FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Mkuu Chige wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu sana humu JF. Na sidhani kama wenye heshima hiyo mnazidi watano..Frank Matrisciano ni NBA Trainer kwahiyo ka-train wengi tu lakini ame-specialize kwenye physique ambalo ndo tatizo kuwa la Hasheem. We Google tu Hell's Trainer na utapata habari zake! WHY Hell? Wengi wanazikimbia training zake soon baada ya kuanza!!!
Swali bado hujalijibu, je kati ya hawa ambao walifanikiwa kunaliza training kwa huyo HELL ni wangapi walifanikiwa kuingia NBA? Maana nadhani hapa tunajihaminisha kwamba as long as amefanikiwa kumaliza training kwa huyo jamaa basi ni lazima apate timu.
Lakini mbaya kabisa, hizi Preseason hakuna hata timu moja iliyomuita.. At least angeitwa kwenye timu hata moja kwenye preseason tungejipa matumaini ya yeye kurudi.
Ukweli mchungu ni kwamba Hasheem bado kwa season hii.. Labda aendelee kujifua asubiri timu zikitaka kujiimarisha dirisha ndogo kwa ajili ya kusaka play offs na kujiandaa kwa play offs.. Mwaka jana Cavs walifanya hivyo kumchukua jamaa mwenye 34 kutoka D-League