Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Vitu km hivi ww utaishia kuviona na kuvisikia kwenye media, but kwake tc normalMafanikio yake budget ya Tanzania three years my foot...budget ya Tanzania inacheza between 18-21 trillion Tsh let's assume approximately ni 20 trillion Tsh zidisha kwa Tatu means Hashim Thabeet anafika Trillion 60???? Kalale uote tena
Sasa hapo ndugu kuna trillion 60 au hesabu ulikimbia??? Annual payment yake ni dollar 1,200,00 ambayo ni sawa na billion mbili na milioni mia tano kasoro za kitanzania mzidishie hata kwa miaka 100 bado ipo trillion mbili ambayo hata robo ya budget ya Tanzania haijafika kwa mwaka mmoja....hivi huwa unawaza kwa kutumia ubongo kweli mkuu???Vitu km hivi ww utaishia kuviona na kuvisikia kwenye media, but kwake tc normal
Bob usipanic. hapo nimetolea ni kidogo tuu...Sasa hapo ndugu kuna trillion 60 au hesabu ulikimbia??? Annual payment yake ni dollar 1,200,00 ambayo ni sawa na billion mbili na milioni mia tano kasoro za kitanzania mzidishie hata kwa miaka 100 bado ipo trillion mbili ambayo hata robo ya budget ya Tanzania haijafika kwa mwaka mmoja....hivi huwa unawaza kwa kutumia ubongo kweli mkuu???
Sasa ndugu hapo nimepanic mini?! Nilikuwa nakuweka sawa kwenye hesabu zako utambue kwamba huyo Thabeet unayemfananisha na budget ya Tanzania unakosea sana unless otherwise hufuatilii mambo bali ni mzee wa kukurupukaBob usipanic. hapo nimetolea ni kidogo tuu...
Bob usiloliju ni............Sasa ndugu hapo nimepanic mini?! Nilikuwa nakuweka sawa kwenye hesabu zako utambue kwamba huyo Thabeet unayemfananisha na budget ya Tanzania unakosea sana unless otherwise hufuatilii mambo bali ni mzee wa kukurupuka
Nashukuru umelijua hilo, usiongee pasipo kuwa na evidenceBob usiloliju ni............
Mengine ni siri, so siwezi kuyaweka hadharani. but utajiri anaouogelea ni km nilivosema mwanzoniNashukuru umelijua hilo, usiongee pasipo kuwa na evidence
Hahahahahahaha wewe ndugu nadhani medulla imeseize kidogo...miaka mitatu means dollar billion 30 ndio budget ya Tanzania approximately miaka mitatu....tafuta matajiri wakubwa 30 duniani angalia matajiri hao wana utajiri kiasi gani?! Trillion 60 angeingia 20 bora ya matajiri wakubwa dunianiMengine ni siri, so siwezi kuyaweka hadharani. but utajiri anaouogelea ni km nilivosema mwanzoni
I think chakula chako ni dagaa, ni mbishi like........Hahahahahahaha wewe ndugu nadhani medulla imeseize kidogo...miaka mitatu means dollar billion 30 ndio budget ya Tanzania approximately miaka mitatu....tafuta matajiri wakubwa 30 duniani angalia matajiri hao wana utajiri kiasi gani?! Trillion 60 angeingia 20 bora ya matajiri wakubwa duniani
Alikula nyuchi yenye mkosi ya kidoti lazima aharibikiwe tu![/QUOTE
Hahah umenifurahisha
Unajaribu kumwambia nini King Kiba
Duuh poleee... yako kumbe nabishana na mtu asiejua kitu. ati Uhuru Kenyatta ndo tajiri kuliko marais wote africa? hii kali aiseeee!!! wa wapi wewe Bob? Hebu m-check kwanza prezida wa AngolaTajiri wa kwanza Tanzania anakaribia Trilioni moja...Kenya hapo rais Uhuru Kenyeta na utajiri wake mkubwa kuliko maraisi wote Africa ana utajiri wa dollar million 500 sawa na trillion moja source Forbes magazine... Sasa huyo Hashim yupo list ya ngapi kwa sifa unazommwagia????
Ana mkwanja mlefu kinoma but hapendi makuu. nenda Mikocheni pembeni mwa indian ocean uone apartmentes anazojenga utazimiaNashukuru umejaa mwenyewe kwahiyo Hashim Thabeet kamzidi huyo raisi Kenyata kwa utajiri???? Kama ni ndugu yako kakupiga kamba au umekurupuka...rais wa pili Africa basi Hashim ni zaidi ya familia nzima ya Kenyatta na rais wa Angola utajiri wake wote bado sio budget ya Tanzania miaka 3 au source umeitoa wapi mkuu????
Huna jipya wewe, nabishana na mtu ambaye amekaa kubishana na si kuelewa...hata awe na mkwanja mrefu kiasi gani si budget ya Tanzania hata kwa mwaka mmoja...kubali uliteleza hapo awali basi lakini si kutetea upumbavuAna mkwanja mlefu kinoma but hapendi makuu. nenda Mikocheni pembeni mwa indian ocean uone apartmentes anazojenga utazimia
kwa hiyo hiyo ndo sawa na bajeti ya tanzania miaka 3?Ana mkwanja mlefu kinoma but hapendi makuu. nenda Mikocheni pembeni mwa indian ocean uone apartmentes anazojenga utazimia
Ndo wapambe hawa jamaa akirud wanakua washika mapembe wanapigwa fix na gambe za bure wanaamini kila kitukwa hiyo hiyo ndo sawa na bajeti ya tanzania miaka 3?