Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Dikembe mutombo mkamba mpolondo jean Jacques was mutombo

Nae ni big man tall Kama hasheem ila alikuwa anajielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa kwa style za kulipia shampeni na whisky za bei mbaya kwa kufunga club unatoboa vipi? Hahaha!!!
Angepiga matofali yake town now ingekuwa shangwe tu!
Meona eeh?..ule urefu unataka pesa asee,yaan uwe tall vile huna pesa, ukipita mtaan watoto watasema wamekutana na jini tall[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo jamaa mali alizonazo hivyo viwanja vya dodoma unganisha zaidi ya mia mbili, eti arudi bongo,awe omba omba, acha apige mpunga atakuja kuwekeza baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukigoogle unaambiwa yakohama kacheza 2017 mpka 2018 so it means now hana team
 
H
Alikuwa Didier Mbenga kaka sio Mutombo
Huyo mbenga waqt wa mabadiliko nchini kongo mzazi wake alikuwa mhenga ikabidi yeye mbenga na bimkubwa wakimbilie ubeligiji huko ndio wataalamu wakamuona.
 
Unamzungumzia huyu aliyemaliza Jitegemee? Aliyekwenda US ukubwani na sasa akija anaigiza kusahau kiswahili? Hapo kichwani kuna tatizo! Miaka yote hiyo hujawahi kugundua kwamba mtu huyu hajitambui? Linganisha na Dikembe Mutombo wa DRC.
Unamfananisha Dikembe na Hasheem aliyekwenda US ukubwani kabisa!? Dikembe aliyecheza NBA mpaka akasema basi! Huku ni kumuonea Hasheem.
 
Unamfananisha Dikembe na Hasheem aliyekwenda US ukubwani kabisa!? Dikembe aliyecheza NBA mpaka akasema basi! Huku ni kumuonea Hasheem.
Wako sawa tu ila mmoja kichwani yuko fit mwingine limbukeni. Mutombo aliingia US akiwa na umri wa miaka 21, akiwa hajui English. Akajifunza na ndo maana hata sasa hutamsikia akilazimisha kupinda ulimi kama huyo bonge wetu anayeigiza kusahau Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…