Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

Jamaa wa Kongo ni Dikembe Mutombo. Ni jamaa safi na anajitambua sana. Hata baada ya michezo yake sasa ni philanthropist. Kama ulivyosema siyo mtu wa kujikuza na kila wakati anakubali umaskini wa DRC hadi alipojenga hospitali kubwa Congo, alipewa misaada sana! Huyu mwenzetu alihangaikia kuwakoga wa-TZ wenzake badala ya kuwasaidia. Hapo unahitaji kujitambua. Lazima kichwani uwe bora. SIyo mtu anayeigiza kusahau kiswahili.
Dikembe mutombo mkamba mpolondo jean Jacques was mutombo

Nae ni big man tall Kama hasheem ila alikuwa anajielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa kwa style za kulipia shampeni na whisky za bei mbaya kwa kufunga club unatoboa vipi? Hahaha!!!
Angepiga matofali yake town now ingekuwa shangwe tu!
Meona eeh?..ule urefu unataka pesa asee,yaan uwe tall vile huna pesa, ukipita mtaan watoto watasema wamekutana na jini tall[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo jamaa mali alizonazo hivyo viwanja vya dodoma unganisha zaidi ya mia mbili, eti arudi bongo,awe omba omba, acha apige mpunga atakuja kuwekeza baadae.
Hasheem Thabeet ni Mtanzania aliyezaliwa tarehe 16 February 1987. Ni mchezaji wa mpira wa kikapu ambaye ni hazina kwa Taifa letu. Licha ya muda wake mwingi kuutumia nchini Marekani katika timu ya Memphis Grizzlies, endapo Thabeet ataamua kuendeleza kipaji chake kwa kuwainua vijana wa Tanzania, anaweza kutengeneza timu nzuri ya mpira wa kikapu hapa nchini. Kama ilivyo kwa wenzake waliopewa viwanja, naamini Hasheem Thabeet anaweza pia kupata ardhi nzuri mkoani Dodoma na kuangusha mjengo wa maana. Mtaa wa Wanamichezo ukajijenga mkoani Dodoma.

Nelson,
SUA-Morogoro
View attachment 1054203

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka enzi hizo akirudi bongo lazima afanye media tour, Clouds wanamdaka juu kwa juu 'exclusive interview' shobo kama zote[emoji38][emoji38], sahivi hawana time nae tena anarudi bongo kimyakimya, maisha bwana!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu watu hawajui jinsi ambavyo ni rahisi kwa mtu kama yule kufilisika. Hana investment yoyote, hana kitegauchumi, hana biashara, hana assets, hana chochote kinachomuingizia kipato zaidi ya huo uchezaji! Na hakuna anaejua kama kweli kwa sasa anacheza au anauza supermarket. Mimi bet yangu ni kwamba jamaa hana 10m cash kwenye akaunti kwa sasa..

Ukigoogle unaambiwa yakohama kacheza 2017 mpka 2018 so it means now hana team
 
H
Alikuwa Didier Mbenga kaka sio Mutombo
Huyo mbenga waqt wa mabadiliko nchini kongo mzazi wake alikuwa mhenga ikabidi yeye mbenga na bimkubwa wakimbilie ubeligiji huko ndio wataalamu wakamuona.
 
Unamzungumzia huyu aliyemaliza Jitegemee? Aliyekwenda US ukubwani na sasa akija anaigiza kusahau kiswahili? Hapo kichwani kuna tatizo! Miaka yote hiyo hujawahi kugundua kwamba mtu huyu hajitambui? Linganisha na Dikembe Mutombo wa DRC.
Unamfananisha Dikembe na Hasheem aliyekwenda US ukubwani kabisa!? Dikembe aliyecheza NBA mpaka akasema basi! Huku ni kumuonea Hasheem.
 
Unamfananisha Dikembe na Hasheem aliyekwenda US ukubwani kabisa!? Dikembe aliyecheza NBA mpaka akasema basi! Huku ni kumuonea Hasheem.
Wako sawa tu ila mmoja kichwani yuko fit mwingine limbukeni. Mutombo aliingia US akiwa na umri wa miaka 21, akiwa hajui English. Akajifunza na ndo maana hata sasa hutamsikia akilazimisha kupinda ulimi kama huyo bonge wetu anayeigiza kusahau Kiswahili.
 
Back
Top Bottom