Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaaa!!!daaah!waja mna maneno!!!Jamaa anapumulia Mashine,hata Mama yake na yeye kapotea kabisa kwenye vipindi vya redio,enzi zile kutwa alikuwa anashinda kwenye vituo vya runinga na redio kuhamasisha wananzengo kuhusu mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app